Elections 2010 Dr. Slaa kutafuna mfupa wa wastaafu wa EAC uliowashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK

Elections 2010 Dr. Slaa kutafuna mfupa wa wastaafu wa EAC uliowashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Dr. Slaa awaahidi wastaafu wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki kulipwa ndani ya siku mia moja ya utawala wake mpya...........

Hii dhuluma dhidi ya wastaafu hao ambao wameitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa kwa miaka nenda rudi ulimshinda Baba wa Taifa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na sasa Jk ambaye haoni hata aibu kuzungumzia ahadi hewa za miradi mipya wakati amegoma kuwalipa wastaafu hawa wanyonge.

TUNAMSHUKURU MOLA MWENYEZI MUNGU KWA KUTUPATIA MKOMBOZI WETU DR. SLAA NA CHADEMAAAAAAAAAAA
 
Anaweza kabisa. Kilichokuwa kinatakiwa kuwezesha malipo yale ya wastaafu ilikuwa ni Dhamira tuu basi.
 
Kushugulikia suala la wastaafu wa jumuia ya afrika mashariki ni suala ambalo linawezekana!kinachohitajika hapa ni nia njema ya kulimaliza tatizo hii ambalo limekuwa kero kwa muda mrefu!Tumpe kura Dr Slaa amalize tatizo hili!
 
Back
Top Bottom