Elections 2010 Dr.Slaa kutoongea na waandishi wa habari kesho jumapili

Hayo ni mawazo unahaki ya kusema.
Lakini kumwambia Dr Slaa anachochea Kuni motoni ni uzandiki wa Ki CCM.

Kimkakati Dr Slaa haendi hivyo kwa sbabu huu si mpambano wo wa siku mbili ni mpambano wa masafa marefu.
Naomba ufunge mkanda kabisaa kwani unaweza usihimili vishindo safari ndi ndefu sana.

Kachochea kuni kwa sababu hakuhudhuria utangazaji wa mshindi?? Are you kidding me??

Hayo maswali yako yote manne ni cha mtoto cha mtoto.Dr Slaa ayajibu ili iwe nini??

Wafuasi na wanachama waliomchagua Dr Slaa hawana Mukuli wametulia wewe unawashwa na picha za pilipili mtandaooni.
Dr Slaa amekataa matokeo na kuwaachia wafu wawazike wafu wao sasa mlitaka ahudhurie ili kuongeza kiwingu na mlindimo mbona ingekuwa aibu kabisa kwa Mgonjwa wenu?

Woti izi baiting yuu mai frendi???
 
mi nlisema mkaniona mi CCM........ hataweza kujitokeza hadharani...jamaa anadai mke wake na watoto wake...(WATOTO WANAMWITA SLAA ANKO).... shughuli imepata mwenyewe
 
La muhimu tuwe na subira na muda ukifika Slaa atawajulisha hicho wanachopanga Suala la mke wa mtu naona ni la binafsi zaidi
 
mbona hii habari imekaa kishabiki, unaweza kutupatia link ya wapi umetoa haya maneno? maana info kama hii yapaswa kuwa official...
 
Jamani hii taarifa ina ukweli wowote au ni uzushi tu?
 
The problem is we are leading and responding emotionally, George W. Bush worn election with some irregularlities. However, he came out publicly and declared it that it is over "let it go"; in African countries mmm election extend from one to another and even when you are less than 1/3 of votes you still believe you deserved to be declared as a winner....

Any the election is over and Dr. Slaa is no longer presidential candidate...he is just a mere CHADEMA secretary general, so whatever come should be in those lines.

Please do not make environments for eager, young, competent, active CHADEMA MPs seen as they are not thankful to their voters... let them... also you need to recognise the 26.7% votes you got...
 
We are waiting for your say mkuu.

Kama kuna mchakato unaendelea, ni vema maana si vizuri kukimbilia kuongea na wanahabari kama kuna mambo bado yanafanyiwa kazi.

We are ready when you are!
 
mchakato wa kudurufu barua ya La Cairo
 

Nadhani huo ni msimamo wako na siyo wa wanaCHADEMA wote wala watanzania waliomuunga mkono Dr. Slaa kwa kumpa kura. So kama kiongozi wetu, tunaheshimu maamuzi anayochukua na tuko tayari wakati wowote atakapoongea nasi. Pamoja na kuwa uchaguzi unaweza usirudiwe kwa mijibu wa katiba ya sasa ya Tanzania lakini lolote atakalotwambia kiongozi wetu ndilo hilo tutakalofanya kwa sababu tunamwamini na bado tunamhitaji.

Hata kama ushindi amepokonywa, bado ana kazi kubwa ya kuwakomboa watanzania kifikra.

CHADEMA OYEE
 

Cool please
 
mi nlisema mkaniona mi CCM........ hataweza kujitokeza hadharani...jamaa anadai mke wake na watoto wake...(WATOTO WANAMWITA SLAA ANKO).... shughuli imepata mwenyewe

Stupid
 
Nina swali
kwa nini serikali inamwogopa sana dr. slaa???????
tunahitaji watu kama slaa zaidi ya kumi hivi ili jeikei na gang wakome.

Hivi kwa nini walitupigisha kura wakati wanajua wataiba???
 
Veri gudi Mr presda wa CHADEMA, ce wanaharakati tupo uwanjani na full jezi tunasubiri kipenga chako cha mwisho ili 2anze mapambano.. Fanya wela ili mambo yawe fasta kabla mambo hawajayachakachua for other tym.. We love u.....
 

THAT IS WHAT I AM TALKING ABOUT...halafu Mkalamba mmoja akanibishia kwenye Uzi mwingine! Kukumbatiana na kushikana mikono na mtu ambaye unajua ni mwizi wako na una dukuduku naye Moyoni ni Unafiki and our Good Dr SILAHA is above that. kama mbwai mbwai tu mpaka kieleweke!

 
dr wakati ukiendelea kuungana na watanzania kuugulia kuibiwa kwa kura zetu wabunge wako wa viti maalum wanaugua ugonjwa wa sintofahamu kwani hawajui wanaenda mjengoni au la pls watangazie wajue namba zao
 
mi nlisema mkaniona mi CCM........ hataweza kujitokeza hadharani...jamaa anadai mke wake na watoto wake...(WATOTO WANAMWITA SLAA ANKO).... shughuli imepata mwenyewe

Hii itawasumbua sana sana kwa akili zenu za ubishoo.
Ukinunua gari mpya mpaka umpe mwanao akalingishie wazee wenzio woote.
Kila jambo likitokea kwenu kipimo cha ufanisi ni kiasi gani mtaliza makalio yenu mbwaaataaa! yakusikika nchi nzima
Wake zenu wakinunua gagulo mpya ni lazima wazivae mlegezeo ili kila njemba ione ikiwa ni pamoja na vijust.Aibu yetu wote
Mnaleta Ubishoo na UHillsider mambo 2nd year enzi zileee Mlimani Univ. Masikini hamkui akili mnakua mafuvu ya vichwa Mashavu Midomo na makalio.

Umeacha main Topic kwa vile ni Fupa alolishindwa Fisi, unalenga personal issue zenye kujaa chumvi ambazo tusema tuwaweke Viongozi wa CCM hapa tuwajadili katika dulu hizo watakaa uchhi wa mnyama mbele za wakwe zao. Mlete Kikwete hapa Mlete Makamba Mlete January hapa. Leta Baraza lote la mawaziri wake kwa waume hakuna hata mmoja atabaki kavaa nguo.
Una nyumba ya Vioo usianze kurusha mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…