Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
Kesho kwenye viwanja vya Jangwani Jijini DSM kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara wa Dr.Slaa kwa ajili ya kuhitimisha zoezi la kuzunguka mikoa yote ya Tanzania kwa ajili ya kuomba kudhaminiwa na wananchi.
walioko DSM mnakaribishwa kwenye mapokezi kwenye uwanja wa ndege wa JK Nyerere kuanzia saa nne kamili asubuhi na baada ya hapo kutakuwa na msafara wa kuelekea kwenye viwanja vya Jangwani ..
Tuende wote tukamuunge mkono , kwa wale walioko DSM lets show that we are with him.
matangazo yapo redio mbalimbali kuanzia jioni hii na pia kesho asubuhi.
Asante mkuu, kila la kheri!matangazo yapo redio mbalimbali kuanzia jioni hii na pia kesho asubuhi.
nimeweka picha za Mbulu na usiku ntaweka nyingine nyingi sana
La picha ngoja nianze kuziweka hapa na wanaweza kujichukulia .Za kesho pia ntawatumia .
THE GREAT MISTAKE OF BONGO POLITICS..........mi huwa nasema SIASA ZA MJINI.......kuwa na watu wengi,kutangaza sana,mikutano,semina,vipeperushi ....vyote hivi hufanyika mijini hali wakiacha sehemu nyingine za nchi....YOU CANT BE A PRESIDENT OF DAR-ES-SALAAM ONLY.....! kosa walilofanya CUF ndo kosa CHADEMA wanalifanya.....CUF ilikuwa mbagala,mtoni na temeke kwa ujumla....wakienda fanya mkutano hata kibaha FUSO zinatoka mbagala kupeleka watu kibaha...hatimaye CHALI KIFO CHA MENDE.........! SO DO CHADEMA