jamani hana stylist huyu mtu? hilo shati la namna hiyo hapana kwa kweli....................wapiga kura wasiofungamana na chama chochote hasa wanawae atawakosa hapo
Ndo wametoka uwanja wa ndege. Msafara ulikwama kidogo Pugu Rd. Kulikuwa na ajali maeneo ya vingunguti
Ndo wametoka uwanja wa ndege. Msafara ulikwama kidogo Pugu Rd. Kulikuwa na ajali maeneo ya vingunguti
.
Helicopter ya rais haiwezi kwama vingunguti bana. Itatua jangwani moja kwa moja wakati ukiwadia. Labda waliokwama vingunguti ni viongozi waandamizi wa rais. Nami pia nasubiri kwa hamu update za rais Dr wa kweli sio yule wa hisani.
hakuna watu huko
Wakati huu ahata JF ijitofautishe kinamna na ilivyokuwa inaoperate huko nyuma, watu watumie BlackBerry zao, lap top zao, simu, kuhakikisha watu ambao tuko nje ya maeneo ya matukio tunapata news. Nashangaa kukiwa na kitu kinaendelea kwenye TV kila mtu anajifanya kutoa LIVE sasa saa hizi ndio habari za live zinakuwa most wanted hakuna mtu wa kutupa Khaaaa Mweeee!
Kuna habari za hapa na pale kuwa Slaa hajapata wadhamini katika mikoa ya Zanzibar ,hivi kuna umuhimu wa kupata wadhamini kutoka kila pembe ya Tanzania ?