Dr slaa kuunguruma mkoa wa kinondoni leo,ubungo,kawe na kinondoni

Dr slaa kuunguruma mkoa wa kinondoni leo,ubungo,kawe na kinondoni

Colombia

Senior Member
Joined
Feb 3, 2013
Posts
110
Reaction score
72
Katibu mkuu wa chadema dr slaa atahutubia mikutano mitatu kwenye majimbo yaliyopo mkoa wa kinondoni. Mpaka sasa watu wanaendelea kumiminika kwa viongozi waliyofika wa juu ni mzee kimesela,katibu wa mkoa wa kinondoni na kanda ya dar es salaam mhe.Henry kilewo pamoja na katibu wa vijana wa
mkoa huwo Renatus Mlashaniпл.
 
kule iringa wanajaribu kuzuia mvua kwa shuka,mbowe na lisu ndani kisa eti mkutano ulikuwa na watu wengi.....
 
mkuu Colombia weka ratiba kamili viwanja na muda
 
Last edited by a moderator:
Kwasasa dr slaa amewasili na timu yake. Uwanja ni uwanja wa mbezi mwisho kuelekea goba. Kawe itakuwa ni saa saba na nusu
 
Kwasasa dr slaa amewasili na timu yake. Uwanja ni uwanja wa mbezi mwisho kuelekea goba. Kawe itakuwa ni saa saba na nusu

Kawe ni kubwa mkuu, atakuwa viwanja gani weka maelezo yaliyokamilika mkuu Colombia.
 
Kawe ni kubwa mkuu, atakuwa viwanja gani weka maelezo yaliyokamilika mkuu Colombia.

Waleta taarifa awajui jinsi ya kuelezea kitu watu wakajua kawe ipi? Au uwanja gani? Kama ni tanganyika pekaz tujue watu tuanze safari ya kusogea kwenda pale....ila nashukuru kumbe itakuwa tanganyika pekaz wote mnakaribishwa
 
Kwasasa anaongea mbogoro! Sisi chadema tunaunga mkono tunu tano zilizo ainishwa na jaji warioba tunu za taifa
 
Nitanganyika pekaz kwa kawe. Kinondoni ni uwanja wa shule ya msingi barafu magomeni
 
wapenzi wa chadema mnakaribishwa saa saba dr slaa na dada yetu mpendwa halima na mbunge wa jimbo la kawe watakuwa tanganyika pekazi kuanzia saa basa mchana mnakaribishwa kawe
 
Wananchi wanaulizwa juu ya uwazi wa mambo ya taifa,uwazi uwepo ama usiwepo wananchi wanasema kwa pamoja uwepoooo!!!
 
Waleta taarifa awajui jinsi ya kuelezea kitu watu wakajua kawe ipi? Au uwanja gani? Kama ni tanganyika pekaz tujue watu tuanze safari ya kusogea kwenda pale....ila nashukuru kumbe itakuwa tanganyika pekaz wote mnakaribishwa

Asante,ngoja nianze safari mapema.
 
Ngoja wajifurahishe waendelee kuingiza posho ya siku.
 
wapenzi wa chadema mnakaribishwa saa saba dr slaa na dada yetu mpendwa halima na mbunge wa jimbo la kawe watakuwa tanganyika pekazi kuanzia saa basa mchana mnakaribishwa kawe

Shukurani mkuu, nipo hapa morocco on the way kuja huko,hapo kwenye red nadhani ulimaanisha saba.
 
Back
Top Bottom