Elections 2010 Dr. Slaa lau angejua...

Slaa ameshinda kwa 61% hilo liko wazi kabisa... ameshinda kanda ya ziwa, amshinda nyanda za juu kusini, ameshinda kaskazini na maeneo yote ya mijini ...
 

kaka wewe ni kilaza kwelikweli.mbinu waliyoitumia chadema mtu mwenye akili finyu kama wewe huwezi kuielewa.kama slaa angegombea ubunge chadema ingepata viti kama saba tu mshikemshike aliouleta slaa umeongeza viti kwa wapinzani sasa kwa taarifa yako kama ni biashara chadema na slaa wanahitaji kupewa tuzo.suala la wizi au la hilo si la muhimu kwa sassa ila hesabu zinavyoonekana mwak2015 ccm hapakaliki kwa sababu ya vichwa vilivyoingia bungeni.
awamu ilyopita tulikuambia mbunge moja wa chadema sawa na wabunge 10 wa ccm sasa piga hesabu na hao bundi wako wanaolala mchana mjengoni utakuja na jibu kwamba watz wamepata wakombozi.slaa atabaki kuimarisha chama na ukuzingatia ruzuku itakuwa ya kutosha.
peoples!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Kanyafu nkanwa , inabidi uelewe kuwa siasa zinagharama zake, hivyo DKT SLAA kugombea urais aina maana katoswa na wenzake,maana yeye si mbunge wa maisha pale karatu na pili jimbo la karatu bado lipo CHADEMA. Mwaka 2005 MBOWE aliachia jimbo na kugombea urais je alitoswa na wenzake?LIPUMBA kwa mara ya nne anagombea urais je anatoswa na wenzake wa CUF?Tusiwe wepesi kurusha lawama na maneno ya uchonganishi kwa CHADEMA au wapinzani. Kwa mtazamo wako ulidhani ni nani ndani ya CHADEMA alipaswa kugombea urais na angeshinda maana angekua ajatoswa?

Tukumbuke vyama vingi vya upinzani havijajiimarisha nchi nzima, sababu ya kwanza ukosefu wa fedha kuzunguka nchi nzima kufanya vikao vya nje na vya ndani ili kukiimarisha chama na kuingiza wanachama wapya. Ndani ya miaka mitano CHADEMA walifanya Operesheni Sangara mara moja tu na wabunge na viongozi walioshiriki walijigharamia. Hivyo kampeni za urais usaidia kukitangaza chama na kuwafikia wananchi na kuwapa sera za chama hivyo kwa vyama vya upinzani ni kampeni za urais ni njia mojawapo yakukijenga na kukiimarisha chama.

Katika uchaguzi kuna kushindwa na kushinda kama ulisikiliza TBC wakati DKT SLAA anahojiwa katika kipindi cha usiku wa habari kilipokuwa kinahiji wagombea urais, alisema wazi akishindwa kihalali atakubali matokeo lakini wakichakachua atapinga,pale alipoulizwa iwapo atashindwa atafanya nini. pili alieleza kuwa akishindwa atakuwa ameondolewa jukumu la urais, pia hatokuwa mbunge maana ajagombea ubunge,pia hatokuwa diwani maana ukiwa mbunge unaingia ktk full council kama diwani pia, tatu hatokuwa ktk kamati za bunge hivyo akiwa KATIBU wa CHADEMA atakuwa na jukumu la kuimarisha chama nchi nzima. Ataandaa mikakati na mbinu zitakazo saidia chama kuimarika kuelekea uchaguzi wa 2015. Hivyo alikuwa anajua kuna kushindwa na kushinda hakuna aliyemuingiza mkenge kugombea urais.

Pia kama unamacho ya kuona na akili za kupembua mambo ushiriki wa DKT SLAA katika kugombea urais ndiko kuliko leta mafanikio kwa CHADEMA hadi kupata viti vingi vya ubunge ktk historia ya chama hicho, pia kumechangia wananchi kuwa na imani na chadema. Miaka yote toka 1995 hadi 2005 wapiga kura walikuwa wengi kuliko 2010 lakini hakuna mgombea wa upinzani aliyepata kura 2m lakini DKT SLAA kafikisha 2.3m pamoja na kura zake kuchakachuliwa.

hivyo hakuna aliyemuingiza mkenge DKT SLAA bali sasa jahazi la CHADEMA ndio limeng'oa nanga na safari ya kuchukua nchi imeanz
 

Hapo inabidi nikuunge mkono. watu wengi wanaongelea suala hili kishabiki. Slaa kashindwa vibaya, upinzani hauna lolote!!,huu ni upuuzi uliopindukia. Mambo yaliyofanywa na upinzani awamu hii ni makubwa mno. WanaCCM ndani ya JF wanajua kuwa hata hao 'wakubwa' wao huko ikulu na lumumba wametikisika. Umaarufu wa Rais umeporomoka na chama kinaweza kusambaratika. JK mwenyewe anajua hilo na sasa hivi kama CCM itabidi wajipange upya. Namna pekee ni kuitazama ilani yao na kutekeleza mambo waliyoahidi na kuangalia yale ambayo wapinzani wamepambanua vizuri kuliko wao, na yako mengi maana ilani yao imejaa mazoea ya kila mwaka na ahadi nyingi zisizotekelezeka kirahisi.

Wakiweza kushughulikia kero za watu watauzuia upinzani kuwashambulia zaidi na kuzidi uwadhoofisha. Na kwa raia, si jambo la msingi ni nani au chama gani kiko madarakani, ila ni vipi maisha yao yameboreshwa. Nyerere alisema kama kungekuwepo chama makini cha upinzni wakati wake, yamkini angejiunga nacho kukwepa kansa ndani ya CCM. Upinzani umeitikisa CCM mwaka huu, wasioliona hilo ni vipofu wa kudumu na wanahitaji msaada haraka!!
 

Yaani unaongea kama mimi. Nina maana hiyo hiyo kwamba amesaidia kunyanyua upinzani. Ila yeye mwenyewe kaumia. Hiyo ndiyo fact and remain that way for good.
 

Hukuhitaji kuniita Kilaza wakati umerudia yale yote niliyoongea mimi hapo juu. Huu uliosema ndiyo ukweli na utabakia hivyo hivyo kama pia nilivyosema mimi hapo juu.
 
Pole saaana kwa upuuuzi unaotaka sisi tuamini kamwe si hivyo wala haitakaaikwa hivyo..... Wewe unafikiri kila siku wakifanya operesheni Sangara ndio watu wataelewa sio???!!! Acha ujinga siasa za nchi hii huzijui wewe.. Waulize wana-CCM damu wakwambie habari.. wao wako mil 5 lakini kura nazo mil 5 ... kwa maana hiyo kuna wana-CCM wamemtosa JK... Na kina Shibuda unafikiri wanngejiunga na CHADEMA kama sio mvuto wa Dr.Slaa... Kaaa ukijua hujuma nyingi saana zilifanywa haswa Shinyanga na Dar lakini CHADEMA wanang´ara... Zamani chama kikuu cha upinzani kilikuwa CUF pekee lakini leo tunaona kwa jinsi gani CHADEMA wamefika.. Zitto kiongozi wa upinzani bungeni. Pia CHADEMA walipata kura laki 6 tuu lakini sasa 2.2mil... Pia wabunge watano mpka 23 + mpanda mjini(Mohd Arfi)... Weee yoote haya hujaona... Mwenzio mjanja kuwa katibu mkuu wa chama chenye ruzuku kubwa kama hiki ni neema kisiasa hasa kwa yeye anaependa operesheni sangara... Mimi nakwambia UCHAGUZI MKUU NI SAA YOYOTE KUANZIA SASA SIO MIAKA MIAKA MITANO KAMA UNAVYOWAZA... KAAA USUBIRI KAMA DKT.SLAA HATAKUWA RAISI WA NCHI HII SOON!!!!

Sory
Nawasilisha...siungi mkono hoja 100 kwa mia!!!!
 
Hivi humu Jf wanaruhusiwa watoto chini ya miaka 18?
Sasa huyu kanyafu Nkanwa amekuwaje member!!
 

Ukianza hizo hesabu maana yake ni kwamba Slaa ni mchovu sana. Chadema tunajua wanang'ara ila watu hawakumtak Slaa na hii imedhihilishwa kwenye uchaguzi. Slaa mwenyewe amejishtukia mpaka ameingia mitini kwenye sherehe za kuapishwa. Nadhani hakuamini kama ukweli ni huo huo. Wenzake kabla yake ni Mrema na Mbowe. Walikuwa wanakusanya watu lukuki miaka ya 95 na 2005.
Si kila akuchekeaye anapenda muonekano (personality) wako. Chadema kaza misuli
 
Upinzani ni Kizazi cha Nyerere kikisha ila bila hivyo hakuna Upinzani ,Slaa kaingia mkenge ila sidhani kama hakujua, inawezekana ni muafaka ulikua huo ,kapewa deal au huyo Mbowe alipewa deal kumweka Slaa , na yeye kwa tamaa za uraisi akaingia kichwa kichwa.
 

The wind of Dr. Slaa has made Chadema to win 22 parliamentary seats, the percentage he as got will increase a number of special seats, he will now strengthern a party.

You speak like a slave in your country!
 

So far this is nice response kwa aliyeanzisha thread.

Lazima tukubali kuwa watu wametofautiana na mabavu na hasira huwa havimbadilishi mtu , kama wengi wa wanachadema wanavyojivua nguo humu. Hoja hujibiwa kwa hoja, kujibu kwa vituko havisaidii uchaguzi si umepita?
 
Kuna wakati nilikuwa nasoma posts zako... Poor me kwa muda wangu niliowahi kupoteza...
 
WABEROYA
naye kaishiwa yakusema humu ndani

anatuonyesha niwale wa :deadhorse:
 
[ tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu regional # of voters voters to vote kikwete lipumbaslaarungwepetermugahywa total winner by regional arusha 831,827.00 540,687.55 179,240.00 10,814.00 349,011.00 220.00 500.00 902.00 540,687.00 slaa dar es salaam 1,786,290.00 1,161,088.50 464,435.40 104,497.97 580,544.25 3,000.00 5,500.00 3,110.00 1,161,087.62 slaa dodoma 1,032,372.00 671,041.80 416,045.92 26,841.67 221,443.79 2,000.00 2,000.00 2,710.00 671,041.38 kikwete iringa 921,054.00 598,685.10 239,474.04 11,973.70 341,250.51 1,986.00 2,100.00 1,900.00 598,684.25 slaa kagera 1,155,770.00 751,250.50 308,012.71 7,512.51 428,212.79 2,000.00 2,512.00 3,000.00 751,250.00 slaa kigoma 768,797.00 499,718.05 264,850.57 134,923.87 94,946.43 1,997.00 1,560.00 1,440.00 499,717.87 kikwete kilimanjaro 912,542.00 593,152.30 166,082.64 5,931.52 415,206.61 1,930.00 2,000.00 2,001.00 593,151.78 slaa lindi 508,193.00 330,325.45 188,285.51 109,007.40 32,032.00 200.00 300.00 500.00 330,324.91 kikwete manyara 634,065.00 412,142.25 98,914.14 4,121.42 304,985.27 2,000.00 121.00 2,000.00 412,141.83 slaa mara 813,330.00 528,664.50 200,892.51 10,573.29 315,198.00 1,405.00 500.00 95.00 528,663.80 slaa mbeya 1,275,389.00 829,002.85 265,280.91 24,870.09 530,561.82 8,000.00 200.00 90.00 829,002.82 slaa morogoro 1,122,583.00 729,678.95 496,181.69 145,935.79 80,264.68 500.00 600.00 6,196.00 729,678.16 kikwete mtwara 731,444.00 475,438.60 247,228.07 180,666.67 38,035.09 8,500.00 750.00 258.00 475,437.83 kikwete mwanza 1,659,641.00 1,078,766.65 409,931.33 21,575.33 636,472.32 2,000.00 787.00 8,000.00 1,078,765.98 slaa pwani 562,373.00 365,542.45 201,048.35 109,662.74 51,175.94 655.00 1,500.00 1,500.00 365,542.03 kikwete rukwa 668,817.00 434,731.05 239,102.08 18,790.00 174,500.00 350.00 1,542.00 446.00 434,730.08 kikwete ruvuma 710,579.00 461,876.35 318,694.68 25,454.00 116,727.00 245.00 500.00 255.00 461,875.68 kikwete shinyanga 1,650,632.00 1,072,910.80 343,331.46 25,450.00 697,392.02 1,200.00 1,450.00 4,087.00 1,072,910.48 slaa singida 668,697.00 434,653.05 226,019.59 12,500.00 195,593.00 520.00 8.00 12.00 434,652.59 kikwete tabora 1,000,091.00 650,059.15 273,024.84 162,514.79 213,519.00 250.00 700.00 50.00 650,058.63 kikwete tanga 1,031,239.00 670,305.35 375,371.00 201,091.61 90,842.00 1,200.00 1,412.00 400.00 670,316.60 kikwete 20,445,725.00 13,289,721.25 5,921,447.41 1,354,708.36 5,907,913.52 40,158.00 26,542.00 38,952.00 13,289,721.29 %44.5610.1944.450.300.200.29 100.00 mikoa slaa10 kikwete11 jumla21
 
tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu regional # of voters voters to vote kikwete lipumbaslaarungwepetermugahywa total winner by regional arusha 831,827.00 540,687.55 179,240.00 10,814.00 349,011.00 220.00 500.00 902.00 540,687.00 slaa dar es salaam 1,786,290.00 1,161,088.50 464,435.40 104,497.97 580,544.25 3,000.00 5,500.00 3,110.00 1,161,087.62 slaa dodoma 1,032,372.00 671,041.80 416,045.92 26,841.67 221,443.79 2,000.00 2,000.00 2,710.00 671,041.38 kikwete iringa 921,054.00 598,685.10 239,474.04 11,973.70 341,250.51 1,986.00 2,100.00 1,900.00 598,684.25 slaa kagera 1,155,770.00 751,250.50 308,012.71 7,512.51 428,212.79 2,000.00 2,512.00 3,000.00 751,250.00 slaa kigoma 768,797.00 499,718.05 264,850.57 134,923.87 94,946.43 1,997.00 1,560.00 1,440.00 499,717.87 kikwete kilimanjaro 912,542.00 593,152.30 166,082.64 5,931.52 415,206.61 1,930.00 2,000.00 2,001.00 593,151.78 slaa lindi 508,193.00 330,325.45 188,285.51 109,007.40 32,032.00 200.00 300.00 500.00 330,324.91 kikwete manyara 634,065.00 412,142.25 98,914.14 4,121.42 304,985.27 2,000.00 121.00 2,000.00 412,141.83 slaa mara 813,330.00 528,664.50 200,892.51 10,573.29 315,198.00 1,405.00 500.00 95.00 528,663.80 slaa mbeya 1,275,389.00 829,002.85 265,280.91 24,870.09 530,561.82 8,000.00 200.00 90.00 829,002.82 slaa morogoro 1,122,583.00 729,678.95 496,181.69 145,935.79 80,264.68 500.00 600.00 6,196.00 729,678.16 kikwete mtwara 731,444.00 475,438.60 247,228.07 180,666.67 38,035.09 8,500.00 750.00 258.00 475,437.83 kikwete mwanza 1,659,641.00 1,078,766.65 409,931.33 21,575.33 636,472.32 2,000.00 787.00 8,000.00 1,078,765.98 slaa pwani 562,373.00 365,542.45 201,048.35 109,662.74 51,175.94 655.00 1,500.00 1,500.00 365,542.03 kikwete rukwa 668,817.00 434,731.05 239,102.08 18,790.00 174,500.00 350.00 1,542.00 446.00 434,730.08 kikwete ruvuma 710,579.00 461,876.35 318,694.68 25,454.00 116,727.00 245.00 500.00 255.00 461,875.68 kikwete shinyanga 1,650,632.00 1,072,910.80 343,331.46 25,450.00 697,392.02 1,200.00 1,450.00 4,087.00 1,072,910.48 slaa singida 668,697.00 434,653.05 226,019.59 12,500.00 195,593.00 520.00 8.00 12.00 434,652.59 kikwete tabora 1,000,091.00 650,059.15 273,024.84 162,514.79 213,519.00 250.00 700.00 50.00 650,058.63 kikwete tanga 1,031,239.00 670,305.35 375,371.00 201,091.61 90,842.00 1,200.00 1,412.00 400.00 670,316.60 kikwete 20,445,725.00 13,289,721.25 5,921,447.41 1,354,708.36 5,907,913.52 40,158.00 26,542.00 38,952.00 13,289,721.29 %44.5610.1944.450.300.200.29 100.00 mikoa slaa10 kikwete11 jumla21
 

Umesema kweli....:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…