nimeipenda hiyo.dr. Slaa anahojiwa na tbc taifa kuhusu kupitishwa kwa anna makinda.
Maoni yake ni haya;
mtangazaji: unaonaje kupitishwa kwa anna kama spika wa bunge la jamhuri?
dr. Slaa: anna makinda anafaa kuwa spika. Pia ni mtu mwenye uzoefu ila kuna wakati anakuwa mwepesi wa jazba na hivyo kutumia nguvu.
mtangazaji: Nini ujumbe wako kwa wabunge vijana?
dr. Slaa: nawaasa wabunge vijana kuepuka kuvutika upande mmoja hasa kipindi hiki cha mwanzo mwanzo.
Pili nawaasa wabunge vijana kutulia na kusoma kanuni vizuri ili wasipigiwe filimbi.
endelea kutupasha habari mkuu wengine hatupo karibu na radio..............
Dr. Slaa anahojiwa na tbc taifa kuhusu kupitishwa kwa anna makinda.
Maoni yake ni haya;
Mtangazaji: Unaonaje kupitishwa kwa anna kama spika wa bunge la jamhuri?
Dr. Slaa: Anna makinda anafaa kuwa spika. Pia ni mtu mwenye uzoefu ila kuna wakati anakuwa mwepesi wa jazba na hivyo kutumia nguvu.
Mtangazaji: Nini ujumbe wako kwa wabunge vijana?
Dr. Slaa: Nawaasa wabunge vijana kuepuka kuvutika upande mmoja hasa kipindi hiki cha mwanzo mwanzo.
Pili nawaasa wabunge vijana kutulia na kusoma kanuni vizuri ili wasipigiwe filimbi.
asante kaka, hata kama tukisikia tu maneno mawili ya busara toka kwa rais wa watu wa tanzania inatosha sana.