Elections 2010 Dr. Slaa Live on Star TV!

Elections 2010 Dr. Slaa Live on Star TV!

Sasa anazungumza, amesema matumaini kwa yoyote anayeingia kwenye ushindani ni kushinda, Dr. Slaa anaendelea kujieleza kikampeni type.
 
Dr. Slaa amesema atakubali kushindwa kama ni fair play, japo hakueleza asipokubali kushindwa ndio atafanya nini.
Amesema anaimani na mgombea wa Chadema. Sasa anaongea na mgombea wa Chadema, Mchungaji Israel Naatee.
 
Mama Slaa pia amezungumza, jamaa wa fashion wameshafanya mambo, amenyoa low cut na kuvaa design glass sasa katoka bomba kwa face ya kimiss miss. Amesema anajiandaa kuwa first lady!.
 
Matangazo ya live ya Arusha yamekuwa yanakata kata kata, ingekuwa ni TBC watu wangedhani ni hujuma.
 
Just imagine value ya kura yako, Dr. Slaa kashuka karatu asubuhi hii na helcopter akitokea Mbeya, amepiga kura, helcopter inamngoja, anaruka leo leo kwenda Kia, anapanda ndege na kutia timu jiji Dar Salaam leo, kuanza rehesal ya kuapishwa!.
 
Sasa anazungumza, amesema matumaini kwa yoyote anayeingia kwenye ushindani ni kushinda, Dr. Slaa anaendelea kujieleza kikampeni type.

Vipi yeye hajavunja sheria?

Kuhojiwa na waandishi wa habari au kupiga simu nafikiri ni ruksa tu!
 
Pasco umenifurahisha anaenda DSM kufanya rehersal ebu ongezea pamoja na kuchagua SUTI
 
Ni ruksa tu. Hakuna kampeni aliyofanya pale. Dr. Slaa yupo makini sana. Hawezi kutoa majibu hovyo hovyo tu.
 
Back
Top Bottom