Dr. Slaa amesema atakubali kushindwa kama ni fair play, japo hakueleza asipokubali kushindwa ndio atafanya nini.
Amesema anaimani na mgombea wa Chadema. Sasa anaongea na mgombea wa Chadema, Mchungaji Israel Naatee.
Mama Slaa pia amezungumza, jamaa wa fashion wameshafanya mambo, amenyoa low cut na kuvaa design glass sasa katoka bomba kwa face ya kimiss miss. Amesema anajiandaa kuwa first lady!.
Just imagine value ya kura yako, Dr. Slaa kashuka karatu asubuhi hii na helcopter akitokea Mbeya, amepiga kura, helcopter inamngoja, anaruka leo leo kwenda Kia, anapanda ndege na kutia timu jiji Dar Salaam leo, kuanza rehesal ya kuapishwa!.