Dr. Slaa na Josephine katika pozi

Hahahaaaaa....

Kaacha chadema ife na kina lowassa.......

Life is short....kula bata Dr slaa
 
Ni mtu aliyetengana na mkewe ,kamuaaa kuishi na hawara...Si mbaya lakini inapunguza kuaminika kwako katika jamii.
 
Huyu babu anjuwa umri wake kweli!
 
nimeamini kweli mavazi yanazeesha,kwaheri suruali nyepesi na mokasini.
 

Nikisoma baadhi ya comments nashangaa sana.Watu baadala ya kuishi maisha yao kazi kuongea negative kuhusu wengine tu

Nimeona watu wengine wakitoa povu kuhusu Dr.Slaa kufunga ndoa utadhani sijui yeye kufunga ndoa imewaathiri nini

People should leave them alone

Dr. Slaa ni mtu mzima anayepaswa kuheshimiwa maamuzi yake binafsi

Wengine wanauliza mbona hajafungia ndoa Tanzania. What's that suppose to them?Au ni ile tabia ya kutaka kuzamia kwenye sherehe za watu tu. People should grow up.Hayo mambo yapo Tanzania tu.Dunia haipo hivyo

Watu wamuache afanye mambo yake badala ya kufanya mambo ili awaridhishe

Never please anyone at your own detriment.

Wengine wanahukumu na kujifanya wanajua sheria za Dini kuliko Dr.Slaa wakati hawajawahi kupata C kwenye somo la Bible Knowledge au Islamic kwenye mitihani yao ya kidato cha nne au Divinity Form Six angalao iwarekebishie credit za daraja la ufaulu yet wanamkosoa Ph.D holder wa Canon Law na kumhukumu utadhani wao ni living Saints.

That's just how losers and mediocres console themselves

They sh'd get a life .
 
hii msg ni yangu?? au umekosea?
 
Ni mtu aliyetengana na mkewe ,kamuaaa kuishi na hawara...Si mbaya lakini inapunguza kuaminika kwako katika jamii.
Mtu kaenda kanisani kufunga ndoa unasema kuwa anapunguza uaminifu kwa jamii?

Think twice, na yule anaechepuka?
 
Well said......
 
Hata likiwa bei cheee lakini limempendeza, unaweza ukavaa kitu cha bei ghali na ukaonekana kituko mbele za watu, kiufupi ametokelezea, na dr. slaa hajasema yeye ni mtu wa kuvaa vitu expensive tuache wivu.
Huo ni wimbo acha povu!
 

Hee wee vipi!!.. unapiga watu marufuku wasimjadili slaa?..haya weka list ya watu unaopenda wajadiliwe kwenye jukwaa hili basi!..
 
Hongera sana dr tutakukumbuka kwa siasa zako za kweli zisizokuwa na unafiki wala undumilakuwili, ni muda wako sasa kufurahia maisha.
 
hakuna kitu kibaya kama supplimentary ya maisha ,mambo tuliyofanya tukiwa na miaka 30 ndio kibabu kinayafanya ,alimiss haya mambo anatamani dunia irudi nyuma kaa ulee wajukuu ,tunga vitabu,bata waachie wanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…