johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa heshima kubwa nakuomba Dr. Slaa ambaye najua umo humu jamvini unisaidie kunipa maana na tofauti ya maneno haya Waraka na Tamko.
Nimekuja kwako Dr kwa kuwa najua wewe ni mbobezi katika mambo ya dini lakini pia wewe ni mwanasiasa nguli.
Nina wasiwasi katika mjadala unaoendelea kuhusu Waraka wa Kanisa ama KKKT au Katoliki kuna kitu hakieleweki vizuri hapa duniani. Nijuavyo mimi ni rahisi sana kufuta Tamko ila kwa upande wa kufuta Waraka natatizika.
Mkuu Pascal unakaribishwa pia.
Ahsante!