johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Utumishi wa serikali ni pamoja na kuwa na mapenzi mema!Huyo sasa ni mtumishi wa serikali au unataka arudi kwenye kubeba mabox.
wewe ni shida.Kwa heshima kubwa nakuomba Dr. Slaa ambaye najua umo humu jamvini unisaidie kunipa maana na tofauti ya maneno haya Waraka na Tamko.
Nimekuja kwako Dr kwa kuwa najua wewe ni mbobezi katika mambo ya dini lakini pia wewe ni mwanasiasa nguli.
Nina wasiwasi katika mjadala unaoendelea kuhusu Waraka wa Kanisa ama KKKT au Katoliki kuna kitu hakieleweki vizuri hapa duniani. Nijuavyo mimi ni rahisi sana kufuta Tamko ila kwa upande wa kufuta Waraka natatizika.
Mkuu Pascal unakaribishwa pia.
Ahsante!
Hahahaa...!! Mkuu sisi wengine tuna jukumu la kuishuhudia ile kweli!wewe ni shida.
Kwa heshima kubwa nakuomba Dr. Slaa ambaye najua umo humu jamvini unisaidie kunipa maana na tofauti ya maneno haya Waraka na Tamko.
Nimekuja kwako Dr kwa kuwa najua wewe ni mbobezi katika mambo ya dini lakini pia wewe ni mwanasiasa nguli.
Nina wasiwasi katika mjadala unaoendelea kuhusu Waraka wa Kanisa ama KKKT au Katoliki kuna kitu hakieleweki vizuri hapa duniani. Nijuavyo mimi ni rahisi sana kufuta Tamko ila kwa upande wa kufuta Waraka natatizika.
Mkuu Pascal unakaribishwa pia.
Ahsante!
Bila shaka unamaanisha kiafrika wanasisitiza asiongee wakati anakulaTable manners.
Mkuu hapa tuko kiroho zaidi!Table manners.
Bila shaka unamaanisha kiafrika wanasisitiza asiongee wakati anakula
Mkuu hapa tuko kiroho zaidi!
Tanzania siasa ni ajira huo upinzani unatoka wapi?!......Sasa mtu kama Mbowe utasema ni mpinzani?.....anapinga nini!Kwa maana ya kunyofoa roho za wapinzani?
Tanzania siasa ni ajira huo upinzani unatoka wapi?!......Sasa mtu kama Mbowe utasema ni mpinzani?.....anapinga nini!
Anapinga upumbavu unaofanywa na chama lakoTanzania siasa ni ajira huo upinzani unatoka wapi?!......Sasa mtu kama Mbowe utasema ni mpinzani?.....anapinga nini!