Elections 2010 Dr slaa ni nani?....taifa let linahitaji uwezo wake?

Elections 2010 Dr slaa ni nani?....taifa let linahitaji uwezo wake?

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,304
Reaction score
432
Ni Vyema sana kwa watanzania wakazingatia kuwa kiongozi wa Taifa letu anatakiwa awe na ufahamu na upeo kiasi gani na ni vipi alivyokwishaweza kujenga uwezo na mtazamo wa kijamii katika kukabiliana na hali ya sasa na hali ijayo katika ngazi ya chini, kitaifa na kimataifa.

Ndiyo Tanzania kwa sasa inamhitaji mtu wa namna hiyo. Je Slaa analinganishwa na JK kwa JK kuweza au kuwa na ufahamu gani? si ameshajionyesha kushindwa hata kuliongoza jimbo lake dogo la Bagamoyo, sembuse nchi nzima?

Rejea Wasifu wa Rais mtarajiwa Dr W. Slaa ulioambatanishwa, Piga kura kwake, Badilisha nchi yetu, tupate watu na viongozi makini ambao JK kadiriki kawatukana pamoja na watanzania kuwa etu ni Majuha!! Ole wake ifikapo 31 Oct atajiju kuwa ndiye alitangulia kuwa juha no.1 kabla!

View attachment Kwa NINI DR SLAA HANA MFANO WA KUMPINGA.pdf
 
Back
Top Bottom