Elections 2010 Dr. Slaa nyanda za Juu Kusini: Songea, Iringa, Mbeya (picha na habari)

Elections 2010 Dr. Slaa nyanda za Juu Kusini: Songea, Iringa, Mbeya (picha na habari)

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
248
Slaa_Songea.jpg
 
amesimama karibu na wananchi na sio kwenye kimbweta (sp?) akiwa amezunguka na wadakaji wanne kama Kikwete (ambaye ugonjwa wake ni siri).
 
Kuna watu walitoa tathimini kwamba CHADEMA haikubaliki kusini mwa Tanzania, sasa nikiangalia umati huo, halafu nikikumbuka kwamba hawakuletwa na malori, basi napata faraja kwamba Slaa anakubalika kona zote za nchi. Maggid tathimini yako inaweza kuwa imekwenda sivyo ndivyo.
 
hata hao mapolisi siyo kuwa wanalinda ani tu, bali wanapata dozi pia. wanajua pia kuwa kama Dr. Slaa akitangazwa kuwa Rais, na maisha yao yataboreka.
 
Nimeona kwa tbc1 ila sasa hawa wote wana kadi ya kupigia kuraaa? Na kama hawana wamekuja kusikiliza nadhani na ndipo hapo tathimini zetu huyumba na kama wana kadi za kupiga kura je wote wataenda piga kura siku hiyoooo?

slaa come and come fast . No fear no retreat no surrender
 
Sidhani kama kuna sehemu hakibaliki nchi hii. Labda Zanzibar maana huko sina communication, lakini sehemu nyingi ambazo nimefanya utafiti, Dr. Slaa anakubalika. Uzuri zaidi wana CCM wengi wamefikia hatua ya kukubali kuwa TUNACHAGUA MTU, SIYO CHAMA. 😛reggers:
 
C'mon wakunyumba wenzangu! tumeachwa ana CCM sasa ni muda wa ku reflect na kuamua!CCM imetusahau na itatusahau! we really need a change! its me a man from Bomba mbili!
 
nimeona kwa tbc1 ila sasa hawa wote wana kdi ya kupigia kuraaa? na kama hawana wamekuja kusikiliza nadhani na ndipo hapo tathimini zetu huyumba na kama wana kadi za kupiga kura je wote wataenda piga kura siku hiyoooo?

tehetehe
na utakuta watu hawa hawa wanajitokeza kwa wagombea wa vyama vingine. na kama unavyosema haijulikani ni wangapi wana kadi za kupigia kura. ni vigumu ku judge matokeo ya uchaguzi kwa kuangalia tu umati wa watu
 
USHUHUDA NI MUHIMU:

Wiki hii nilikuwa Kigoma mjini, Kasuru na Kibondo. watu niliokutana nao kati ya 50 na 100, kulikuwa na watu kama 50% yao ambao walikuwa tayari kutopiga kura kwa sababu walizodai kuwa " hawakuwa wanaona wa kumchagua wakati Dr. Slaa alipokuwa hajapitishwa, lakini sasa, tumepata wa kumpigia."

So, wengi kadi wanazo na wengine walikuwa wameisha kata tamaa ya kupiga kura lakini sasa wakumpigia yupo Dr. Slaa.
 
CCM IS :deadhorse:THE WAY IS :closed_2: FOR CCM & KIKWETE:welcome:CHADEMA:welcome😀R SLAA
 
Inabidi kuangalia lugha ya picha. Hii picha ni nzuri sana sana.

Ukiangalia picha nyingi, huwa zimekaa kishabiki shabiki. Hii ukiiangalia unaona jinsi sura za watu zilivyokuwa zikisikiliza somo kwa utulivu mkubwa na mawazo yao yote yako kwenye kitu anachokisema Dr. Slaa. Hata wale walioko kwenye Roli lenye spiker, nao hadi wengine wameshika mashavu. Ni babu tu hapo chini kushoto ndiyo alikuwa aki-smile. Sijui Makonde huyu mtani wangu aliona nini cha kuchekesha wakati nchi inaliwa na FALME ya Kikwere na CCM yao?

Hata Polisi na yule Mtoto, unaona wazi kabisa kuwa somo linaingia waziwazi. Nyuso unaona zimekata tamaa kabisa na kwa mbaaali wanapewa habari kuwa kuna Mwanga unakuja. Inachotakiwa kufanya ni kupiga kura tu.

Dr. Slaa hakikisha badala ya kuwahutubia watu, wewe fanya darasa. Kila anayekuja kwenye hotuba basi MFANYE KUWA MWANAFUNZI WAKO. Huyu Mwanafunzi apeleke habari nzuri kwa watu wengine wengi kuwa Mkombozi anakaribia. Saa ya ukombozi Tanzania inakaribia na kutoka sasa, Tanzania haitakuwa kama zamani. Watanzania wameamka na si miaka ya 60 ambapo ni Nyerere na wengine wachache walikuwa wameamka.

Mungu ibariki Tanzania.
 
duh,hapo mbele polisi ni kama 10 hivi,wanamlinda rais mtarajiwa asipate tatizo...
 
mi nakubaliana nawe kwa kiasi fulani kuwa maneno yanawaingia safi, ila kwa kusoma alama za nyakati nikuwa hii yote ni kwa maaandalizi ya 2015 ndipo hali itakuwa ndio siasa imepamba moto

mean while tu angaze macho yetu kwenye katiba ya JAMUHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA kwa umakini ili huko tuendako tupate maisha bora sasa na elimu bora zaidi na matibabu safi
 
Kura yako mpe Dr. Slaa
 
Sidhani kama kuna sehemu hakibaliki nchi hii. Labda Zanzibar maana huko sina communication, lakini sehemu nyingi ambazo nimefanya utafiti, Dr. Slaa anakubalika. Uzuri zaidi wana CCM wengi wamefikia hatua ya kukubali kuwa TUNACHAGUA MTU, SIYO CHAMA. 😛reggers:
Mimi nawashauri sana Chadema wafike hadi zanzibar (Unguja na Pemba) kumnadi Dr.Slaa na mgombea mwenza kwani ktk kura za Rais wa Muungano Wazanzibar pia watakuwa na mchango mkubwa sana ktk kura zao.

Ifahamike tu kwamba Zanzibar wanaweza mchagua Sief Hamad kama rais wa Zanzibar na kumchagua Dr.Slaa kama rais wa Jamhuri wakitambua muafaka wa kwanza baina ya Chadrema na CUF kuhusiana na Utawala wa visiwani ambao unawapa nguvu zaidi CUF kuongoza kuliko huo wa mseto na CCM.
 
Kura nampa Dr.JK na mbunge napeleka chadema hapa nyamagana piga ua masha simpi na nin akaaa nae jirani hapa jirani twaangalia ziwani

Kura kwa Dr JK? Kwa lipi hasa? Au ndio u-simba na yanga wenyewe?
 
Back
Top Bottom