Elections 2010 Dr. Slaa nyanda za Juu Kusini: Songea, Iringa, Mbeya (picha na habari)


Shukrani sana Mkuu Libasket b kwa ujumbe wako

Kwa wana CHADEMA.........ujumbe huo hapo juu ni muhimu sana sana kuushughulikia na kurekebisha tatizo HARAKA...........wakati huu si wa kupoteza kura kutokana na mambo yanayoweza kuzuilika..............please don't let us down on this again..................
 
hiuvi JK ni Dr? Dr wa nini? au u Dr wa akina maji marefu?
 






Inasemakana huko Iringa kwa Wanyarukolo hali ilikuwa moto, tena wa kuotea mbaili. Jamaa mpaka wanaamua kurekodi wenyewe kampeni za Slaa ili waandishi wetu uchwara wasije pindisha mambo!!!! Kwa ujumla wananchi hawadanganyiki safari hii........!!!
 
mimi naona sasa muda wa mabadiliko umefika
 
Nimeona kwa tbc1 ila sasa hawa wote wana kadi ya kupigia kuraaa? Na kama hawana wamekuja kusikiliza nadhani na ndipo hapo tathimini zetu huyumba na kama wana kadi za kupiga kura je wote wataenda piga kura siku hiyoooo?


Kweli Jethro,
kumbuka mambo yaliyotokea kwa Mrema,aahh,namwonea huruma Dr.Slaa,baada ya matokeo atachanganyikiwa.
Du,kweli CHADEMA wamelostisha mzee wa watu
 
Kama wapiga kura ni 17mil na wanachama wa CCM ni 5 mil na ukiangalia picha nyingi za CCM na kampeni unakuta wanaokuja kwenye mikutano yao kwa kusombwa wote wana either kofia au khanga au shati la chama.Tofauti kabsaa na CHADEMA ata bendera ni haba which means ndo hao 12mil wamekuja msikiliza raisi mtarajiwa ukiondoa 5 mil ya CCM.
Simple math kama izo ni dalili tosha Dr Slaa Uraisi ni wake
 
Najisikia mwenye furaha na kupata burudani sana.

Dr. Slaa SHINDA SHINDA TENA KWA KISHINDO.

Hakuna ubishi hapa.

Kikwete hatukuhitaji tena tumechoka na ahadi hewa. Tunahitaji mabadiliko.

Elimu bure. Dah! nani zaidi.
 


Dr.Slaa in Songea



Kikwete in Igunga

Duh ! hizo fulana, kofia na kanga - yanikumbusha hadithi ya mpiga zumari na mapanya.

laaaa Dr slaa kura yangu unayo tayari, hao jama wanavishwa fulana nao wameridhika tuu maendeleo ya nchi ni zaidi ya fulana na khanga! hivi kweli huo ndio mwisho wa kufikiri kwao ccm haitufai kwa sasa expiry date ilishafika, MCHAGUE SLAA KWA MAENDELEO. YAANI YEYOTE ATAKAYE AMKA SIKU YA 31 OCTOBER na akaipigia ccm atakuwa msaliti wa maendeleo ya nchi,
HAKIKA TUTAPATA UHURU WA TANZANIA MWAKA HUU KWA KUMCHAGUA DR SLAA. i am very happy kumwona Dr slaa ametokea wakati mwafaka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…