Elections 2010 Dr Slaa on Agape Television Network (ATN)

SWALI TOKA TANGA: Utasaidiaje jeshi la mgambo? swali lingine linatoka shinyanga, Slaa alinyimwa kufanya mdahalo mwadui-maganzu, sasa atawasaidiaje wananchi wa mwadui? majibu bado ila naona CCM wanaibip sana lanline!!!!!
 
Wafanyakazi wa mgodi wa mwadui wanasikitika kwa kubaniwa kutokumwona
 
poleni sana mwadui. Kumbe ATN ina cover eneo kubwa hivyo?
 
Jibu: mgambo litashughulikiwa ila maganzo hakuweza kufika baada ya ndege kupata dharura, ametulia sana na jibu ni kwamba sera ya CHADEMA madini na rasilimali ni mali za watanzania! I like it.
 
Dr anasema matatizo wa watu wa mwadui ameyaona, kimsingi mali asili ziwanufaishe watz, na chadema haitavumilia kuona wananchi wake kunyanyaswa na wawekezaji
 
Rasilimali ziwanufaishe both mtanzania na mwekezaji, safiiiiiii
 
Anazungumzia kuhusu ccm kupora viwanja vya wazi, anasema anadocuments kuwa ccm wamepora viwanja vya wazi na watashughulikia wakiingia mabadalakani
 
Amesema ameshaliandaa baraza la mawazi, na kama watu wakitaka atalisema
 
mwaka huuuuuuuuuuuuu, ni mwaka wa mabadilikoooooooooooooooooooooooo
 
Swali frm Arusha: CHADEMA inachukuliaje swala la CCM kumrudisha Mramba kugombea? hata hivo mtangazaji kalipotezea anadai hajamsikia, ngoja tusubiri majibu ya Dokta, swali lingine: nini future ya shule za kata ambazo zimefurika na hawana vifaa?

JIBU: Capitation grants under PEDP ambayo ni dola kumi kila mwnf na serikali badala yake imetoa elfu sita na hakuna waziri wala ofisa wa wizara anaejua ni kwanini pesa hiyo haijafika kama ilivyopangwa, Chadema hawatatoa elimu kwa matabaka.
 
Naona kama vile hawa wanahabari wenyewe wanapishana kiswahili, mmoja ni pro na mmoja ni against Slaa, kipindi kimeisha! uSIKU MWEMA WOOOTE
 
Safi sana kila chombo cha habari kitumike kuwafikia wachaguaji na waamuzi ambao ni mbaga ya Watanzania waliochoshwa na ufisadi wa CCM wakiongozwa na Kikwete, Salma, Ridhiwani na Makamba.

waitu mulangira watamwa ota? Ataganyira kikele ati tikitwa muhini? Tela noindura waitu amafisadi tubakule amaino? Du cjui nimepatia lugha? Ebu sahihisha alaf uniwekee maksi. Daftari langu ntalipitia kesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…