chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 546
- 69
Tena muda si mrefu mwenyekiti wa tume katoka kusema eti inaweza kufika hadi ijumaa.
chanzo by bbc
JK mwenyewe hata kama atashinda itakuwa ni kwa wizi tuCna hamu na huu uchaguz hv jk atajigamba atakapokua akisomewa idad ya wabunge walioingia kwa hila?damu inanukia
Sehemu iliyobakia ni ya CHADEMA kulinda haki ya wananchi wa Tanzania, kama hili halitatendeka vema itaendelea kukatisha sana wananchi. Natumai hatutafika hukoCHADEMA tambueni hili
Wakati wa kura kuhesabiwa na mawakala vituoni idadi inaandikwa na kwenye fomu wanasaini. Ila mchezo hutokea inbetween kituo to wilayani. hapo kati kama gari halisindikizwi na wakala basi masanduku mapya yanapakizwa kwenye gari ili wakifika mwisho wa safari msimamizi analazimisha recount.
Lazima mtoe tamko ili dunia ielewe kinachoendelea.
TUMEZILINDA KURA, SASA NI KAZI YENU KUYALINDA MATOKEO