Wana-Chadema tulieni, majimbo yaliyotangazwa mengi ni ya zenji. Maeneo tunapokubalika bado hawajatangaza. Chadema iko makini kufuatilia na haibiwi mtu. Freedom is coming.
tulikuwa tunafuata helikopta na pia kumwona yule mke wa watu aliyeibiwa
Kashinda wapi kwa mfano, Acheni kuwa na akili za kitoto!!!Jamani, acheni utani. Ki ukweli mshindi ni Dr Slaa, ila kuna hila kubwa imefanywa ndani ya serikali ili Jk aonekane ndiye mshindi, wengi wamejitokeza kupiga kura wakimaanisha ki-ukweli kabisa. Hakuna aliyekuwa anafuata Hekopita wala kuona kitu chochote. Ila tu pale tunapoangalia kura za ubunge sana wao wanaendelea kuchakachua kura za Urais na hii ndiyo inayofanyika sana.