Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Aliekuwa mgombea ubunge kupitia hatua za awali za kupata kupeperusha bendera ya c.c.m Musoma mjini Dr. Kayombo afariki ktk hospital ya Mkoa wa Mara alfajiri alipokuwa akipata matibabu.
Kayombo the Dr. alikuwa maarufu sana pale alipoimbwa na mwanamziki Bestnaso!
Kesho mwili utasafirishwa kuelekea Ludewa Iringa kwao.
Rest in piece Dr. Kayombo. Mwendo umeumaliza, na Musoma tutakukumbuka daima. Legacy uliyoiacha ni kubwa.