Dr wa marehemu michael jackson aeleza siri nzito kuhusu marehemu michael jackson

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Kwenye mahojiano yake ya kwanza mara baada ya kuachiwa toka gerezani kwa kuhusishwa na kifo cha nguli wa muziki wa pop duniani Michael Jackson, Dokta Conrad Murray alielezea kwenye mahojiano aliyofanya na The Mail kwamba, Michael hakuwa baba wa hata mtoto wake mmoja, aliathiriwa na madawa kiasi cha kufikia hatua ya kuhitajika kuwa anavaa condom sababu mkojo ulikuwa unatoka wenyewe kwenye uume wake.

“Unataka kufahamu ni kwa kiasi gani mimi na Michael kwa vile tulikuwa karibu? Nilikuwa nikishukilia uume wake kila usiku. Nilikuwa namvalisha condom sababu mkojo wake ulikuwa ukitoka wenyewe. Michael alikuwa hajua namna ya kuvaa condom, hivyo ilinibidi niwe namvallisha. Kilikuwa ni kitu cha kipekee sana ila aliniamini mimi. Sikumuuwa Michael Jackson, aliathiriwa na madawa, Michael Jackson kwa bahati mbaya alimuuwa Michael Jackson, naamini aliamka na kuamua kufanya aliyozoea kufanya, akajidunga sindano haraka ambayo ilisababisha kumpeleka kwenye hali iliyomfika.’’

Alikuwa kwenye majanga mwishoni mwa maisha yake, akiwa na msongo wa kimawazo na kupaniki … Mwishoni, Michael alikuwa mtu aliyekata tamaa. Nilijaribu kumlinda ila mwisho wa siku niliangushwa naye.

Jackson alikuwa ameingia kwenye matatizo ya kuathirika kiakili na kimwili kutokana na ziara yake ya London.’’ Alisema Dokta Conrad Murray.
 
Sasa msongo wa mawazo kautoa wapi ulhali ana mifweza....au alikua anawaza jinsi mwili wake unavyoharibika siku hadi siku
 
Sasa msongo wa mawazo kautoa wapi ulhali ana mifweza....au alikua anawaza jinsi mwili wake unavyoharibika siku hadi siku

Mkuu madudu uloyafanya yanapoanza kufumuka lazima upatwe na hiyo kitu. Ni vigumu sana kuaccept mwili wako unanyofoka kidogo kidogo na kutumia anti pain kila siku.
 
Mkuu madudu uloyafanya yanapoanza kufumuka lazima upatwe na hiyo kitu. Ni vigumu sana kuaccept mwili wako unanyofoka kidogo kidogo na kutumia anti pain kila siku.

Kajitakia..si alitaka uzuri ili awaridhishe binadamu...yuko jehanam saa hizi
 
Source? Ama mtoa mada ulikuwepo live?
Manake hiyo ya kuvaa condom kukinga mkojo hainiingii akilini. Why not use diapers? Napata picha naniliu ndani na mikojo inaingia. Technically....sounds 😕
 
King'asti diapers si sawa na condom.unajua condom inaweza kubeba hata ndoo nzima ya maji.
 
King'asti diapers si sawa na condom.unajua condom inaweza kubeba hata ndoo nzima ya maji.
Condom itabebaje mkojo na bado ikawa imeshika kwenye uume bila kudodondoka. Labda iwe na mikanda ya kufunga kiunoni.
 
Source? Ama mtoa mada ulikuwepo live?
Manake hiyo ya kuvaa condom kukinga mkojo hainiingii akilini. Why not use diapers? Napata picha naniliu ndani na mikojo inaingia. Technically....sounds 😕

au kwa vile nimeandika kiswahili ndio uhamini. nimeshakwambia aliojiwa na mtandao wa The Mail. google utaona. pia ata vyombo vyote vya habari duniani vimeripoti.

tofaut ni kuwa mi nimeweka kwa kiswahili hii habari
 
Condom itabebaje mkojo na bado ikawa imeshika kwenye uume bila kudodondoka. Labda iwe na mikanda ya kufunga kiunoni.

ulishaona condom zinazouzwa Marekani? zinabana sana
 
Msimhukumu vibaya kuhusu "madudu" mliyosema ameyafanya. Jamaa alikuwa na tatizo la ngozi kuwa nyeupe na mwili kuwa na mabaka ( VITILIGO) ugonjwa ambao hata hapa kwetu upo na wapo watu weusi wenye mabaka meupe na mpaka sehemu kubwa ya mwili huwa nyeupe.
Sasa ukishakuwa CELEBRITY na una rangi mbili tofauti zilizokaa hovyo hovyo utafanyaje? Jamaa akaamua kuongezea "make up" ili kuficha ile rangi nyeusi iliyobaki ndio maana akawa anatumia makeup hiyo kuufanya mwili wake wote uonekane mweupe!
Hoja ya msingi ni kwa nini asitumie make up nyeusi ku preserve his original colour? Maana hizo make up nyeusi zipo na kuna watu ndani ya US wanatumia wenye Vitiligo!
 
Hata Kama Michael Jackson alikuwa akitumia madawa, ila Conrad Murray ni mwendawazimu haistahili kutibu watu tena.
 
Source? Ama mtoa mada ulikuwepo live?
Manake hiyo ya kuvaa condom kukinga mkojo hainiingii akilini. Why not use diapers? Napata picha naniliu ndani na mikojo inaingia. Technically....sounds 😕

Hata mi napata kigugumizi,kwani si kuna vifaa maalum kwa watu wasioweza kudhibiti haja ndogo.
 
Kwa hiyo akishamvalisha condom anaifunga na sealtape ama rubber band? Technically haiwezekani kukinga mkojo kwa kutumia condom.

[h=3]"Micheal Jackson was a drug addict, I held his penis every night to put a condom on him" - Dr Conrad Murray spills secrets[/h]

In a very revealing and his first interview since his release from prison for the involuntary manslaughter of Micheal Jackson, Dr Conrad Murray in a revealing interview with The Mail says Micheal didn't father any of his kids, was a drug addict and had to wear a condom because urine kept dripping from his penis...
"You want to know how close Michael and I were? I held his penis every night. I had to put a condom catheter on him because Michael dripped urine. He had a loss of sensation and was incontinent. Michael didn't know how to put a condom on, so I had to do it for him. It was the most intimate thing but he trusted me. I didn't kill Michael Jackson. He was a drug addict,"Michael Jackson accidentally killed Michael Jackson. I believe he woke up, got hold of his own stash of Propofol and injected himself.
He did it too quickly and went into cardiac arrest. He was in crisis at the end of his life, filled with panic and misery ... By the end, Michael Jackson was a broken man. I tried to protect him but instead I was brought down with him. Jackson had been dragged "into the abyss" of physical and mental anguish by the pressures of his London tour, He was so unhinged in his final days that he didn't allow his underwear to be cleaned because he feared the maids would sell it."He also had a hip condition where the hip bone comes out of the socket. Michael wanted to know if I could arrange a hip replacement. None of them are Michael's biological children.
He chose friends or business colleagues to help him. Michael was a decrepit man,He wanted to "be cremated and scattered someone nice and warm" yet his family ended up burying him in a Los Angeles cemetery.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…