Dr wa marehemu michael jackson aeleza siri nzito kuhusu marehemu michael jackson

au kwa vile nimeandika kiswahili ndio uhamini. nimeshakwambia aliojiwa na mtandao wa The Mail. google utaona. pia ata vyombo vyote vya habari duniani vimeripoti.

tofaut ni kuwa mi nimeweka kwa kiswahili hii habari

Jamani someni vizuri. Ni condom catheter hata muhimbili zipo
 
Whatever happenned to doctor patient confidentiality? Au mtu akifa na yenyewe inaisha?

Halafu Michael kashajifia, tutajuaje kipi kweli na kipi ni self serving lies kutoka kwa huyu Dr. ?
 
Source? Ama mtoa mada ulikuwepo live?
Manake hiyo ya kuvaa condom kukinga mkojo hainiingii akilini. Why not use diapers? Napata picha naniliu ndani na mikojo inaingia. Technically....sounds 😕

Magumu kuamini lakini ndo yashatokea sasa!
 
Whatever happenned to doctor patient confidentiality? Au mtu akifa na yenyewe inaisha?

Halafu Michael kashajifia, tutajuaje kipi kweli na kipi ni self serving lies kutoka kwa huyu Dr. ?

Confidentiality si inasainiwa baina ya pande mbili? Pande moja ikishakufa hiyo agreement si inakuwa voided!
 
Kajitakia..si alitaka uzuri ili awaridhishe binadamu...yuko jehanam saa hizi

acha kutuzingua wewe!! umekuwa kiranja mkuu wa jehanam mpaka ujue mj yupo huko!?

jehanam bado iko closed bwana! hakuna kiumbe hata mmoja aliye jehanam saa hii! hata mfalme wa giza tu bado yuko free kwa sasa!
 
Confidentiality si inasainiwa baina ya pande mbili? Pande moja ikishakufa hiyo agreement si inakuwa voided!

I was not sure about that, but I thought the spirit of confidentiality should prevail even after the death, because the name still lives and there could be family members in play.

This lit from General Medical Council UK seems to vindicate my view

GMC | Confidentiality guidance: Disclosure after a patient's death

In the US HIPPA enforces confidentiality even after death.

Patient's Guide to HIPPA – Learning About HIPAA: Do Privacy Rights Survive Death? | World Privacy Forum
 
And if that is the case, does confidentiality remain intact even in the court of law esp in the quest for truth where one speaks it under the oath?
 
The links explain exceptions, court of law can be one of the exceptions, or a doctor may plead physician patient confidentiality just as an advocate may plead attorney client confidentiality or a husband may plead spousal confidentiality in some jurisprudence (in the US a husband can legally abstain from giving evidence that is wife incriminating and the wife vice versa)

As in many things in law, the facts of the individual case are arguable in determining which applies and which does not apply.

But in this case, there was no court of law rationale/exception.

It is not fair to the deceased, not only out of the legal angle presented above, but also out of common human decency.

Senator Byrd would say "Barbaric, barbaric, baaarbaaaric".
 
Kwa hiyo akishamvalisha condom anaifunga na sealtape ama rubber band? Technically haiwezekani kukinga mkojo kwa kutumia condom.

Anawekea na suspender bana!
au kama sio hiyo basi kanyela mumo unazikumbuka!?
enheeeeeeeeeeeeeeeee hizo hizo sasa yey zake itakuwa zilikua zinaitwa kajojo mumo!
 
ila iwe itabaki kuwa mJ was the thing when it comes to music!
such a loss!
siku nasikia amekufa nililia kama nimefiwa na nani sijui af badae nikajishangaa kweli!
 
Hahaha. Afu wewe usipoacha bhange ujue mimi nakutoa kwenye bendi yangu. Chezeiya nyoshi el sadaat?
Anawekea na suspender bana!
au kama sio hiyo basi kanyela mumo unazikumbuka!?
enheeeeeeeeeeeeeeeee hizo hizo sasa yey zake itakuwa zilikua zinaitwa kajojo mumo!
 
The links explain exceptions, court of law can be one of the exceptions, or a doctor may plead physician patient confidentiality just as an advocate may plead attorney client confidentiality or a husband may plead spousal confidentiality in some jurisprudence (in the US a husband can legally abstain from giving evidence that is wife incriminating and the wife vice versa)

As in many things in law, the facts of the individual case are arguable in determining which applies and which does not apply.

But in this case, there was no court of law rationale/exception.

It is not fair to the deceased, not only out of the legal angle presented above, but also out of common human decency.

Senator Byrd would say "Barbaric, barbaric, baaarbaaaric".

And in that case then if it goes to the court and the journalist get that then it will no longer be confidential
 
Mmh ina maana wale sio watoto wake??...

Kwenye wimbo wake wa BILL JEAN kuna mstari anasema.............."the kid is not my son...nahisi alichoimba ndio kilichotokea.

Ila tunapokuja kwenye suala la ugonjwa tujadili kwa busara.........au nenda muhimbili au hospitali yoyote kubwa uone wagonjwa wa aina mbali mbali ndio mjifunze namna ya kujadili na kuhukumu.

Na sidhani kama kwa kuwa katamka condom basi iwe ni ile tuliyoizoea...yaweza kuwa jina ni hilo hilo lakini ya "kihospitali" zaidi na hiyo ndio kazi yake.......

Kama KIJKO....kipo cha kulia makande na kile cha wakandarasi...barabara n.k.
 
Back
Top Bottom