Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Dr. Zakir Naik, anasema kwamba hauwezi ukawa musilamu kama haumuani Yesu Kristu. Waislamu na Wakristu wanafanana katika mengi lakini utofauti ni pale wanapoamini kuwa Yesu Kristu ni Mungu ... Anachosema ni kuwa ukisoma biblia hakuna sehemu yoyote inayosema kuwa Yesu Kristu alisema yeye ni Mungu na abudiwe. Huu ndio ujumbe kutoka katika mdahalo wa Jesus & Muhammad Brothers in Faith.