Mimi naongeza
Wakristo wanasema Ibrahim alitaka kumtoa sadaka Isaka
Waislam wanasema Ibarahim alitaka kumtoa sadaka Ismail
Wakristo wanazikwa kwenye majeneza na makaburi yaliyojengwa toka chini
Waislam wanazikwa udongoni tena miili yao ikiwa kwenye jamvi na sanda