Asalaam Alaykum!
Dr Zakir Naik wa Peace TV ya India yupo nchini Tanzania na atakuwa na mhadhara siku ya Ijumamosi tarehe 25/04/09 katika ukumbi wa Starlight kuanzia saa 2 asubuhi. Walengwa ni wasomi, wafanyakazi, wafanyabiashara, wanafunzi na wadau mbalimbali.
Kwa maelezo zaidi soma Gazeti la Annuur siku ya Ijumaa tar 24/04/09.
Kwa taarifa hii mnaomba kuwaarifu na waislam wengine. Lugha ya mawasiliano ni Kiingereza.
Ujumbe huu nimeutoa kwa niaba ya Katibu wa TAMPRO Br Pazi Semili
(0754 654900).
X-PASTER
tafadhali mkuu wale ambao wapo nje ya tanzania hawatapata fursa ya kumuona 'ulamaa' huyu hivyo usiache kutuhabarisha kitakachojiri katika muhadhara huo. Vilevile naomba TEMPRO kama ratiba itaruhusu "alimu" huyu atembelee zanzibar kule na kutoa muhadhara katika chuo kikuu cha zanzibar (suza) na ZU - tunguu.Asalaam Alaykum!
Dr Zakir Naik wa Peace TV ya India yupo nchini Tanzania na atakuwa na mhadhara siku ya Ijumamosi tarehe 25/04/09 katika ukumbi wa Starlight kuanzia saa 2 asubuhi. Walengwa ni wasomi, wafanyakazi, wafanyabiashara, wanafunzi na wadau mbalimbali.
Kwa maelezo zaidi soma Gazeti la Annuur siku ya Ijumaa tar 24/04/09.
Kwa taarifa hii mnaomba kuwaarifu na waislam wengine. Lugha ya mawasiliano ni Kiingereza.
Ujumbe huu nimeutoa kwa niaba ya Katibu wa TAMPRO Br Pazi Semili
(0754 654900).
X-PASTER
tafadhali mkuu wale ambao wapo nje ya tanzania hawatapata fursa ya kumuona 'ulamaa' huyu hivyo usiache kutuhabarisha kitakachojiri katika muhadhara huo. Vilevile naomba TEMPRO kama ratiba itaruhusu "alimu" huyu atembelee zanzibar kule na kutoa muhadhara katika chuo kikuu cha zanzibar (suza) na ZU - tunguu.