Draft: Nirekebishe wapi ili iwe mjengo wa kishua

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

It is just an idea na hizi dimensions na layout nimejaribu kuweka ili mwisho iwe kama hapa chini

Hints
Colums za kubeba slab iwe 2.5m
Msingi wa kulia uwe coz 8 na kushoto uwe 4 tu ili ifanye ground floor ya kulia iwe juu kidogo(Tazama 3D)

Nirekebishe wapi wakuu kabla ya kuchek na Architects, Structural. QS mtakuwa nyinyi wenyewe
 
Wakishua hawana parking lot ndogo namna hiyo. Hence ikiongezeka ukubwa maana yake nyumba nayo inabidi iongezeke ukubwa vyumba kwa kuongezea rooms za storage(sio ya chakula) na mambo mengine
 
We mwasibu wewe wanaitwaga architects hawaitwi architecture
 
Dining na sitting vihamishie huo upande wa jiko, then room ije palipo na sitting.....

Au hamisha vyovyote vile ilimradi jiko na dinning vikae karibu.

Nb: toa kazi mwasibu vijana wapate maokoto kuna huyu mwanafamilia yupo vizuri Hechy Essy
Kuja kwako hapa kumenipa idea mbadala. Naiboresha nitarudi. Hechy Essy yupo vizuri no doubts. Lakini nataka nimpe ideas zangu ili azitafsiri kitalaamu
 
Chumba peleke next na chumba kingine,kilipokuwa chumba iwe dining+kitchen. Toa garage.
 
Hiyo bath 8'X3' hapo ground floor haipaswi kukaa hapo. Pia stair case haijakaa sawa
 
Jaribu kurekebisha jengo huwa lina kitu kinaitwa zones. Dinning na jiko ni vema vikae karbu na apart from bedroom kdg maana ni zones tofauti. Pia sijaona sehemu ya ngazi mkuu.
Kwa ushauri zaidi na uchoraji karibu sana.
0759009331
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…