DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Baada ya Sisco kushindikana katika madraft Tanzania nzima , leo saa 5 usiku Kuna pambano

EXCLUSIVE
Timu
: Mkulima Vs Sisco(Confirmed )

Mdhamini: Boss Java

Zawadi: 60,000 (Sisco anatakiwa azuie sare tu )

Lini: Leo Hii saa 5 usiku

Wapi: Online

Mfumo: Ngoma 24 - Omary + tege kumi za mzee Ngapu

Mratibu: Masta Mtemi

Note: Boss Java ametoa mzigo yaani Sisco azuie saree katika michezo 24 na Mkulima anatakiwa ashinde Pia Boss java ametoa elf 5 kila upande kwa ajili ya bando,,

Tajiri Java ameona mtoto sisco sasa anatakiwa kidraft aende levo nyingine maana kibiinadamu ameshindikana,, Weka bando saa 5 usiku moto utawaka[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sisco hawezi kushindikana Tanzania nzima kwasababu hajacheza na wacheza draft wote

Nimeangalia draft na kucheza sana ila kuna Dogo mmoja msomali yupo Arusha sijawahi kuona akifungwa na nina uhakika Sisco hamsogelei. Huyo jamaa nahisi ndio mchawi wa draft

Sisco ni level moja na kila Ronaldo na Msukuma wa Dsm
 
Msomali anakuja Sana manyanya pale hata mechi na Sisco hawez omba Wala kupangiwa..sio uzani wake,,...huyo anahangaishana na kina Ally white wachezaji uzani flani wa katkat ao wa mabao
 
Humjui Sisco wewe,Huyo unayemtaja pale manyanya anapewa Sare 3 azuie
 
Msomali anakuja Sana manyanya pale hata mechi na Sisco hawez omba Wala kupangiwa..sio uzani wake,,...huyo anahangaishana na kina Ally white wachezaji uzani flani wa katkat ao wa mabao
We utakuwa labda unamsemea Msomali mwingine feki na sio huyo

Huyu naekwambia ukitoa sare anakupa 5,000/= na ukimfunga anakupa mkono na 10,000/=

Jamaa anajua huu mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…