Dragon fruits cuttings kwa biashara

Dragon fruits cuttings kwa biashara

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Dragon cuttings ni moja ya matunda yenye faida nyingi sana mwilini na pia ni very expensive sio tu Bongo bali ni Dunia nzima. Ni wakati sasa kuwekeza sana kwenye hiki kilimo make watu wa kwanza ndo juwa wanafaidika kwa bei.

IMG_20220323_100126.jpg
FB_IMG_1648435985278.jpg
FB_IMG_1648353515446.jpg
FB_IMG_1648198545120.jpg
 
Hiyo miba inachoma hiyooooo yani ikikuchoma unaweza uangalia huo mmea

ukatamani uukate uule hvyo mbchi mbchi maana inauma mpaka kumoyo
 
Mkuu jaribu ku googe basi na pia kwa mtazamo wa kawaida unaona kweli zinafanana? na hayo unayo sema yalisha wahi yoa mafunda ka hayo? Google mkuu utapata maelezo mengi sana
 
Tuombe uzima isiwe kama yale mambo ya vanilla kilo moja sh.million 2
Mkuu mbona matunda kama kiwi pia ni ghari sana? Tembelea maduka makubwa hizi Super market kubwa kuna matunda ghari sana na Ughari wake sana ni kwa sababu ya Gharama za kuyaagiza. chukulua matunda kama kiwi, ni ghari kwa sababu yanati Egypt na time yatakapo zalishwa Tanzania basi bei itashuka tu,
 
Sio Dragon tu kuna variety nyingi za matunda ni ghari sana, matunda kama Blue berries ni ghari sana yale gram 250 ni sh 10, 000/ na yanatoka South Africa.Vitu kama hivi ni hadi tutangaziwe kwenye TV ndo na sisi tufanye,
 
Mkuu unauza mbegu/ miche au?. Haya maelezo mbona hayajitoshelezi. Isije kuwa ni yale mambo ya mayai ya kware yana soko kubwa supermarket na duniani kwa ujumla.
Hahaaa Kware wana soko la kutisha jasa Nyama sema Jambo kuu moja tuna kosa Ubunifu hilo ndo tatizo kubwa sana, Laiti watu tungejua matumizi mbalimbali ya Nya kware nahisi pangekuwa hapatoshi, shida sasa hatujui labda atokeee mtu ndo tuigie kwake, Mimi binafisi na breed Kware na sijawahi acha, na this time nazani bya mwezi wa 8 huko utakuja Ona matumizi ya Kware na utaregreet sana,
 
Mkuu jaribu ku googe basi na pia kwa mtazamo wa kawaida unaona kweli zinafanana? na hayo unayo sema yalisha wahi yoa mafunda ka hayo? Google mkuu utapata maelezo mengi sana
Nashukuru Mkuu kwa maelekezo mazuri - Nimeona!🙏
 
Back
Top Bottom