BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Vipi Mkuu? Mbona haya👆 ni kama haya 👇 yanayojiotea kiholela huku kwetu maporini?Dragon cuttings ni moja ya matunda yenye faida nyingi sana mwilini na pia ni very expensive sio tu Bongo bali ni Dunia nzima. Ni wakati sasa kuwekeza sana kwenye hiki kilimo make watu wa kwanza ndo juwa wanafaidika kwa bei.
View attachment 2166649View attachment 2166650View attachment 2166654View attachment 2166656
Kuku wa kuchi anauzwa laki sabaMkuu unauza mbegu/ miche au?. Haya maelezo mbona hayajitoshelezi. Isije kuwa ni yale mambo ya mayai ya kware yana soko kubwa supermarket na duniani kwa ujumla.
Safi, tunazalisha Arusha, na kuna Shamba kubwa sana Bagamoyo la hii kituDragon cuttings ni moja ya matunda yenye faida nyingi sana mwilini na pia ni very expensive sio tu Bongo bali ni Dunia nzima. Ni wakati sasa kuwekeza sana kwenye hiki kilimo make watu wa kwanza ndo juwa wanafaidika kwa bei.
View attachment 2166649View attachment 2166650View attachment 2166654View attachment 2166656
Mkuu jaribu ku googe basi na pia kwa mtazamo wa kawaida unaona kweli zinafanana? na hayo unayo sema yalisha wahi yoa mafunda ka hayo? Google mkuu utapata maelezo mengi sanaVipi Mkuu? Mbona haya[emoji115] ni kama haya [emoji116] yanayojiotea kiholela huku kwetu maporini?
View attachment 2166805
View attachment 2166806
View attachment 2166807
View attachment 2166808
View attachment 2166809
View attachment 2166810
View attachment 2166811
View attachment 2166812
View attachment 2166813
Mkuu mbona matunda kama kiwi pia ni ghari sana? Tembelea maduka makubwa hizi Super market kubwa kuna matunda ghari sana na Ughari wake sana ni kwa sababu ya Gharama za kuyaagiza. chukulua matunda kama kiwi, ni ghari kwa sababu yanati Egypt na time yatakapo zalishwa Tanzania basi bei itashuka tu,Tuombe uzima isiwe kama yale mambo ya vanilla kilo moja sh.million 2
Hahaaa Kware wana soko la kutisha jasa Nyama sema Jambo kuu moja tuna kosa Ubunifu hilo ndo tatizo kubwa sana, Laiti watu tungejua matumizi mbalimbali ya Nya kware nahisi pangekuwa hapatoshi, shida sasa hatujui labda atokeee mtu ndo tuigie kwake, Mimi binafisi na breed Kware na sijawahi acha, na this time nazani bya mwezi wa 8 huko utakuja Ona matumizi ya Kware na utaregreet sana,Mkuu unauza mbegu/ miche au?. Haya maelezo mbona hayajitoshelezi. Isije kuwa ni yale mambo ya mayai ya kware yana soko kubwa supermarket na duniani kwa ujumla.
Nashukuru Mkuu kwa maelekezo mazuri - Nimeona!🙏Mkuu jaribu ku googe basi na pia kwa mtazamo wa kawaida unaona kweli zinafanana? na hayo unayo sema yalisha wahi yoa mafunda ka hayo? Google mkuu utapata maelezo mengi sana
Mkuu hapo ni wapi?Vipi Mkuu? Mbona haya👆 ni kama haya 👇 yanayojiotea kiholela huku kwetu maporini?
View attachment 2166805
View attachment 2166806
View attachment 2166807
View attachment 2166808
View attachment 2166809
View attachment 2166810
View attachment 2166811
View attachment 2166812
View attachment 2166813