Drake na rihanna sasa ni wapenzi

Drake na rihanna sasa ni wapenzi

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398
Baada ya kuwepo tetesi nyingi kuwahusu, sasa imethibitishwa kuwa Drake na Rihanna ni wapenzi. Vyanzo mbalimbali vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Rihanna na Drake wametoka kwenye ukaribu wa kawaida hadi kuwa na uhusiano serious wa kimapenzi.
Rihanna+Drake+2011+NBA+Star+Game+Performances+vX7jhakwkZQl.jpg


lMtandao huo umedai kuwa Rihanna anataka kutumia muda mwingi na Drake pindi muda wake ukimruhusu kwakuwa Drake anamtreat vizuri kuliko mwanaume yeyote aliyewahi kuwa naye. Wawili hao wamekuwa pamoja wakati ambapo Drake akiwa na ziara barani Ulaya na vyanzo vimesema kuwa wamekuwa pamoja kila siku tangu waonekana pamoja kwa mara ya kwanza

SOURCE:BONGO 5
 
Bora akae na Drake tu yuko poa mchizii labda ye na uchizi wake tu rir
 
Bora akae na Drake tu yuko poa mchizii labda ye na uchizi wake tu rir

mwaka jana mwishoni Drake na Chris Brown hawajapigana bure kwenye mgahawa,chanzo inaweza ikawa huyu mtoto
 
mwaka jana mwishoni Drake na Chris Brown hawajapigana bure kwenye mgahawa,chanzo inaweza ikawa huyu mtoto

Hiyo mbona iko wazi,chris na drake wote ni wateja wake
 
Hivi Drake sio mpenzi wa tattoo, nimeona video zake nyingi na sijawahi mwona na mchoro wowote.
 
Huyo drake si wenzake wanamgonga?..labda wataishia kusagana tu
 
Back
Top Bottom