Drama as Hague police kick out Kenyan MPs - it's about time the embarasment ended!

Dr. Job

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
813
Reaction score
220
Drama as Hague police kick out Kenyan MPs

MPs+pix.jpg

Igembe South MP Mithika Linturi (centre) and Kirinyaga Central lawmaker Joseph Gitari confront a Dutch policeman moments after the politicians were ordered to leave the ICC precincts Friday. BILLY MUTAHI/NATION

Dutch police Thursday dramatically ordered Kenyan MPs to keep off the entrance to the ICC building in The Hague.

The lawmakers had been joined by former Commissioner of Police Hussein Ali— himself a former suspect in the crimes against humanity cases that arose from post-2007 election violence, raising questions about his presence.

The politicians, who accompanied Deputy President William Ruto in a show of solidarity, were lost for words when local police insisted that they move away from the entrance. This is where they have been lining up every morning to greet Mr Ruto.

Drama as Hague police kick out Kenyan MPs - News - nation.co.ke
 
Hao jamaa na hivyo vikofia vyao wanafikiri hiyo korti inaendeshwa na sheria za vijiweni? Ona sasa imekula kwao!
 
Siasa za Kenya bwana, hawa jamaa walidhani ni kuingia tuuuuuuuu as if wako Nairobi? Weka siasa mbali nyie!!!!!!
 
aisee hawa jamaa vrpi? Wangewasweka ndani washamba wakubwa. Wanafikiri ni kama zile mahakama zao zinaendeswa na machifu kule kibera
 
Tatizo ni kuwa WaKenya ni watu wenye 'Arrogance' mbaya sana. Kwa muono wangu ni kuwa wanashindana na WanyaRwanda kitabia (habits). Ni watu ambao kwa mawazo yao ni kuwa wanachofiria wao kinawatosha wenyewe kwenye akili yao. Na ni watu ambao 'hawaelewi' kwamba kwa nini watu wengine wanakuwa 'hawawaelewi' wakati mwingine.

Leo dunia inashindwa kuelewa Wabunge wale wanafanya nini pale The Hegue hasa? Wana 'protest' kitu gani hasa? (ambacho walikuwa hawakijui kama kinakuja kwa Ruto na Uhuru). Na wanawakilisha kundi gani hasa? Na iwapo kundi hilo ni Wananchi waliowachagua Je waliwatuma huko the Hegue? Na Je? wanapenda kodi zao zitumiwe kwa wao kuwa hung kama ma 'cheers leaders' kwenye kesi ya Ruto huko the Hegue?

Wabunge hawa wamesahau maadili na wajibu wa kazi ya ki Bunge. Wamesahau maana na dhamana ya 'utumishi wa umma'. Wameshindwa kuheshimu maadili ya kiapo cha ofisi ya umma.

Wamesahau kuwa kesi ya kule ICC si WaKenya bali ni tuhuma dhidi ya Uhuru Kenyatta na William Ruto kama watu binafsi. Na tuhuma hizo zilikuwepo kabla ya kuchaguliwa na kula kiapo cha ofisi umma. Na tahadhari zilikwi shawekwa wazi na ICC ikionya juu ya yale yajayo iwapo tu watawachagua kushika ofisi. Sasa jipya ni lipi hapo wanaloshindwa kulielewa?
 
Sisi waafrica tuna matatizo sana! Nina imani kama ingekuwa ulaya akina Ruto na Kenyatta wasingegombea na kama wangegombea wananchi wasinge wachagua!!
 
Holland wawaombe Alshabaab wawasaidie kuwasambaratisha hao.
 
Siasa bhana! waweza kuwa kama chizi : Baniani mbaya kiatu chake dawa...!!
 
Back
Top Bottom