Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Hapa umbeya ndio pahala pake, mwenzetu mgeni nini!? Na umbea woote unaanzia insta, sometimes snapchat japo huko snap sijawahi fikaga, so we mumunya ubuyu ukiona unachubua tema subiri mwingine.Peleka umbeya wako humohuko inta
Kama umeingia instagram kuanzia jana utakuwa umeona kivumbi kinachotimka kwenye familia ya Diamond Platinumz.
Picha halisi ya kinachoendelea ilionekana kwenye birthday party ya mama yake Diamond.
Imedhiilika kwamba Diamond anachepuka na mzazi mwenzie na Majay yani bi dada Hamisa Mobeto na kuwadi ni dada yake Diamond aitwae Esma. Wataalam wa udaku wanasema kisa haswa cha Esma kumkuwadia Hamisa kwa Diamond ni bifu lilipo kati yao Zari na Esma, pia mama Diamond ameshamchoka Zari anataka atafute demu mwingine. Kwa hiyo wanafanya kila mbinu wawatenganishe.
Vituko vilivyotokea ni pamoja na mbeba keki alikuwa ni Hamisa Mobeto ambae sio part ya familia(maswali yakawa yupo mbele mbele kama nani)... Kingine ni mama Diamond kumlisha Zari keki kwa mkono wa kushoto.. Na funga kazi ni taarab alizopigiwa ni playlist iliyoandaliwa kumpiga vijembe Zari.. Kilichoendelea ni Zari kukosa furaha waziwazi akawa km kavamia sherehe maana ni kama walikuwa wanampotezea akabaki kuangaika na Diamond wake.
Hivi vituko havijaanza juzi ni muda mrefu walianza na kumpelekea D video queen wa video ya Kwetu na mama na dada wakakomaa azamie mazima lakini ishu ikafika media mipango ikafia hapo. Lakini inaonekana hawajachoka.
Sababu yao kubwa wanasema Zari anadharau. Japo wataalam wa mambo wananena kuwa tatizo ni Chibu kuzidishia mahaba kwa Zari na kupunguza nyumbani kwa mama.
All in all hizi drama sio mpya kwenye familia zetu za kiswahili. Ndoa nyingi na uchumba umevunjwa na ndugu haswa mawifi na wakwe, wengi utamani wawe na nafasi kubwa kwenye moyo wa kijana wa kiume. Ikiwa kinyume cha hapo zitakuwa story kaka anapelekeshwa, wifi anaringa, mkwe anadharau. Diamond inabidi asimame imara kama mtoto wa kiume kuakikisha familia yake inasimama sababu kaleta muunganiko wa watu wenye different background lazima migongano iwepo.
Adios!
Mchezo na uendelee, sii muda mrefu Diamond atajua sababu za yeye kutelekezwa na baba yake enzi za utotoni.Kama umeingia instagram kuanzia jana utakuwa umeona kivumbi kinachotimka kwenye familia ya Diamond Platinumz.
Picha halisi ya kinachoendelea ilionekana kwenye birthday party ya mama yake Diamond.
Imedhiilika kwamba Diamond anachepuka na mzazi mwenzie na Majay yani bi dada Hamisa Mobeto na kuwadi ni dada yake Diamond aitwae Esma. Wataalam wa udaku wanasema kisa haswa cha Esma kumkuwadia Hamisa kwa Diamond ni bifu lilipo kati yao Zari na Esma, pia mama Diamond ameshamchoka Zari anataka atafute demu mwingine. Kwa hiyo wanafanya kila mbinu wawatenganishe.
Vituko vilivyotokea ni pamoja na mbeba keki alikuwa ni Hamisa Mobeto ambae sio part ya familia(maswali yakawa yupo mbele mbele kama nani)... Kingine ni mama Diamond kumlisha Zari keki kwa mkono wa kushoto.. Na funga kazi ni taarab alizopigiwa ni playlist iliyoandaliwa kumpiga vijembe Zari.. Kilichoendelea ni Zari kukosa furaha waziwazi akawa km kavamia sherehe maana ni kama walikuwa wanampotezea akabaki kuangaika na Diamond wake.
Hivi vituko havijaanza juzi ni muda mrefu walianza na kumpelekea D video queen wa video ya Kwetu na mama na dada wakakomaa azamie mazima lakini ishu ikafika media mipango ikafia hapo. Lakini inaonekana hawajachoka.
Sababu yao kubwa wanasema Zari anadharau. Japo wataalam wa mambo wananena kuwa tatizo ni Chibu kuzidishia mahaba kwa Zari na kupunguza nyumbani kwa mama.
All in all hizi drama sio mpya kwenye familia zetu za kiswahili. Ndoa nyingi na uchumba umevunjwa na ndugu haswa mawifi na wakwe, wengi utamani wawe na nafasi kubwa kwenye moyo wa kijana wa kiume. Ikiwa kinyume cha hapo zitakuwa story kaka anapelekeshwa, wifi anaringa, mkwe anadharau. Diamond inabidi asimame imara kama mtoto wa kiume kuakikisha familia yake inasimama sababu kaleta muunganiko wa watu wenye different background lazima migongano iwepo.
Adios!
hawana kazi , mbona husikii ueen darleen anagombana na mtuHii familia kwakweli ningekua mie zari ningeshapigana n wifi. Familia ya kiswahili swahili mama mtu n esma waswahili jmn. Yan kukaa nyumba 1 n mume km wahindi ndo shida hyo. Mama mkwe kakae kwako 2kutembelee. Ss apo tiffah anakua ktk mazngira gan. Vibibi vngne khaaaaa. Mama mkwe gubu n wifi naye gubu mara dufu. Ndio maana wema alikua akimsema huyu mama. Leo hii wema kawa mwema
Umeongea vizuri.lakini hiyo elimu wame wameelimika kuwa na elimu tu si tatizo.nina wifi yangu anaelimu nzuri lakini mambo anayoyafanya...mpka mdogo wake anasema "dada yangu elimu haijamsaidia".nashukuru mungu I live miles and miles away from them hawawezi fika hata kusalimia.maanake nisingeweza kabisa.katika familia siku zote ili familia iwe stable na yenye mshikamano inaanza kwanza ELIMU then after ELIMU ndio inakuja WEALTH .....na WEALTH iliyotokana na ELIMU utaipenda hakuna misuguano, drama wala vurugumechi mfano ukute familia wote ni madaktari au familia kila mtu ana kazi yake ya maana hiyo familia utaipenda sasa ukute familia ELIMU ni 0 halafu akaja mmoja akatoboa KIMUNGUMUNGU hivyo hivyo bila ya kuwa na ELIMU kichwani... na awe na ndugu zake sasa ni PATASHIKA nguo kuchanika... mbaya zaidi ukute hiyo familia inatoka hii mikoa ya karibia na BAHARI hii... ni shida aisee... kama mali ni za mwanaume akina dada watataka SHOGA yao ndio aolewe na kaka yao ... wanataka wao ndio wafaidi mali za kaka zao hata kama kaka yao ataoa wataona wifi yao anafaidi.. yaani ni shida DIAMOND alichokosea pale ni kuifanya ile nyumba ni Big brother
halafu akawa ana zari ambaye kakulia uzunguni na kina sijui nani nani watoto wa tandale mixer kinondoni ni shida
Utashangaa na hizi drama zote mwingine atajaribu tena baada ya zari...ndo ujue wanawake ttunayafuataga matatizo wenyewe.Full drama.hii familia looh inataka kunishinda.Zari ilikuaje ukatoka hukooo kuja kuangukia kwa hawa watu?kila mwanamke analalamika kushindwa kuishi na hiyo familia juu ya visa na vituko vya mama na mwanae.solution huyo mama mkwe na wifi mtu si wawapishe hao kina Dee na Zee wao wakaishi kwao?Mond ana mijumba mingapi buanaaaa?
Lol...word!Hivi suala la lugha limekaaje kati ya waliotajwa hapo juu Na mhusika mkuu? Maana kupiga story kwa kiingereza hadi mcheke si Kazi ndogo
Wanaume wa dar.......umeona eeeh wa mkoa lazima waone wivuJamaa anafaidi kweli kweli watoto wazuri....sasa kwa hiyo kishamkula Hamisa au bado bado kwanza alafu sasa majey ndio mmiliki kule EFM asije kumbania nyimbo zake bure zisipingwe kama yule Muhaya wa mjengoni
Wanaume wa Dar tunafaidi kweli kweli aiseeee
Duuuh,adimu sana kwenye post za JPM tofauti na za JK!Imedhiilika = imedhihirika