Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 130 Mar 1, 2013 #1 Jamani nimeona tangazo la kazi kwa waalimu wa masomo ya Drama, kuna shule ya Drama academy inafunguliwa hapa Dar es salaam. kama kuna mtu yupo interested anaweza tuma maombi kwenye email: dramaacademypenny@yahoo.com
Jamani nimeona tangazo la kazi kwa waalimu wa masomo ya Drama, kuna shule ya Drama academy inafunguliwa hapa Dar es salaam. kama kuna mtu yupo interested anaweza tuma maombi kwenye email: dramaacademypenny@yahoo.com