Sometimes back kilinuka mitandaon kuhusu ule mpenzi wa ice Prince ambaye Shilawadu wa kulee alianika Siri yake ya kutoka kimapenz na Mzee flani milionea.
Kilichonishangaza kwa nini huyu dem asitosheke na kuhongwa na ice Prince ambaye ana hela tena handsome