Drama ya Mondi kuachana na Zuchu imeshindwa kuwapaisha.

Drama ya Mondi kuachana na Zuchu imeshindwa kuwapaisha.

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Ndio maana tunaambiwa tusijenge mazoea.
Nakumbuka hawa vijana walifanikiwa kutengeneza Drama kama hii mwanzoni na Diamond akafunga safari hadi Zanzibar kwenda kumuomba Zuchu msamaha wakati ana perform live kule. Na hakika Drama yao ile iliwapaisha kupata public attention hasa kwenye social media. Naona sasa walipoona ile imelipa sasa wameona wairudie tena ile Drama.
Bahati mbaya sana hii imefeli mapema sana. No public attention, no Media headlines and no vibe.
 
Back
Top Bottom