Draw Procedure: 2021-22 TotalEnergies CAF Confederation Cup Knockout Stage

Yanga na nyie mjitahidi ili muandikwe kwa kingereza kama hivi
Huyu mwenyewe utopolo..yaani kama hujamuelewa hapo tayari wameshaanza kutupigia Ramli kwamba tunaenda kutolewa.
 
Lengo la Simba lilikuwa ni kufika robo fainali kwenye mashindano ya kimataifa ya CAF na limetimia na Milioni 805 zimesha soma kwenye akaunti. Hata wakitolewa hakuna tatizo. Ninyi malengo yenu ni kuifunga Simba na Azam
 
Naogopa Onyango asije akauza mechi mana hawa jamaa wanamtaka!
 
FIRST SEMI FINAL

WINNER OF QUARTER FINAL 2 VS WINNER OF QUARTER FINAL 1
 
SECOND SEMI FINAL

WINNER OF QUARTER FINAL 3 VS WINNER OF QUARTER FINAL 4
 
FINAL

WINNER SEMI FINAL 1 VS WINNER SEMI FINAL 2
 
Kwa mkama tunamsukumia utambi goli 4 afu kwao runatoka na sare ya goli 1

Baada ya hapo wakaendelee na shughuli zao si hao nusu fainali
KWA MKAMA 😂😂

MTANI UMEPANIC HADI KWA MKAPA HUWEZI KUANDIKA, PUNGUZA MCHECHETO

MAHARAMIA WA ORLANDO SIO USGN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…