Draw Procedure: 2021-22 TotalEnergies CAF Confederation Cup Knockout Stage

UPDATES KWA CAF CHAMPIONS LEAGUE 21/22

TIMU ZILIZOINGIA ROBO FAINALI NI

AL AHLY
ES SETIF
CR BELOUIZDAD
PETRO ATLETICO
RAJA CASABLANCA
ESPERANCE DE TUNIS
WYDAD CASABLANCA
MAMELODI SUNDOWNS
 
ROBO FAINALI UPANDE WA CAF CL 2021/2022 SEASON

QF 1 AL AHLY SC (EGYPT) VS RAJA CLUB ATHLETIC (MOROCCO)


QF 2 Entente Sportive Sétifienne (ALGERIA) VS Espérance Sportive de Tunis (TUNISIA)

QF 3 Chabab Riadhi de Belouizdad (ALGERIA) VS WYDAD ATHLETIC CLUB (MOROCCO)

QF 4 ATLETICO PETROLEOS (ANGOLA) VS MAMELODI SUNDOWNS (SOUTH AFRICA)

SEMI-FINAL 1

WINNER OF QF 1 VS WINNER OF QF 2

SEMI-FINAL 2

WINNER OF QF 4 VS WINNER OF QF 3


FINAL

WINNER OF SF1 VS WINNER OF SF 2
 
We are reaady for anyone, we don' t want Al ahly tripole we want Orlando or Mazembe we are simba let us meet on the final
Naona mbumbumbu umejikakamua kwenye kiinglish[emoji3][emoji3]
 


Hawa jamaa wa Libya wamefika robo fainali kwa mgongo wa timu ya Biashara ya Tanzania baada ya kushindwa kwenda Libya kwa Match ya marudiano
 
mnajitahidi kutuanzishia nyuzi tu 🤣🤣🤣🤣
Sawa uzi ni mzuri ila nani kakutuma?,nenda kachunge ng'ombe wa Mayele mwenye six parck zake.
Yani hawakomi wana shobo za kishamba sana
Utopolo mnajitahidi kufatilia simba ila mkiambiwa inafatiliwa na watu wengi mnaanza kubisha


Kwa hiyo hii droo ya leo kapangiwa THIMBA peke yake tu? ina maana hamuoni timu zingine huko

msijikute special sana

Huu ni uzi wa kimichezo hauchagui haubagui, wengine wamenyuti ila nyie wenye ''mahaba'' na guvu moya mnatoa povu balaa na kuanza kunishambulia... Tulieni huu uzi ni kwa club zote zilizoenda robo fainali upande wa CAF CC NA CAF CL yaani kombe la shirikisho na kombe la ligi ya mabingwa Africa kwa msimu wa 2021/2022.. thimba guvu moya mkiwemo
 
Lengo la Simba lilikuwa ni kufika robo fainali kwenye mashindano ya kimataifa ya CAF na limetimia na Milioni 805 zimesha soma kwenye akaunti. Hata wakitolewa hakuna tatizo. Ninyi malengo yenu ni kuifunga Simba na Azam
Kaka mbona umeegemea kiushabiki zaidi, mbona kuna timu zingine huko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…