Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #61
Uko sahihi, lakini sio kosa lao ni BIASHARA UNITED ndio mambo ya safari yalishindikanaView attachment 2176826
Hawa jamaa wa Libya wamefika robo fainali kwa mgongo wa timu ya Biashara ya Tanzania baada ya kushindwa kwenda Libya kwa Match ya marudiano
inategemea uwiano wa magoli ya kufunga nyumbani vs ugenininjia nyeupe kabisaaa endapo tutawafunga hapa home
Kwani tunaongoza uongo?Lakini lengo likiwa limetimia na mtonyo wamelamba. Ninyi mnaishia kujigamba kuongoza ligi tu
I almost exhausted my entire thought trying to figure out which final are you talking about, only to recollect that quarter finals are nothing but your finals. Here you are, giants walking on your back, as they take the fight to the final.We are reaady for anyone, we don' t want Al ahly tripole we want Orlando or Mazembe we are simba let us meet on the final
Kweli lengo letu no kuwafunga MAKOLOLengo la Simba lilikuwa ni kufika robo fainali kwenye mashindano ya kimataifa ya CAF na limetimia na Milioni 805 zimesha soma kwenye akaunti. Hata wakitolewa hakuna tatizo. Ninyi malengo yenu ni kuifunga Simba na Azam
Mtataga so kwa mahangaiko haya.Kwa timu hizo yoyote anajipigia Kolo nje ndani
Like how Rivers Untd walked on your backs? Just chill and wait my gee.I almost exhausted my entire thought trying to figure out which final are you talking about, only to recollect that quarter finals are nothing but your finals. Here you are, giants walking on your back, as they take the fight to the final.
You can't plant yourself upright waiting for something which you are very sure will make perspirations flow off your face in torrents.Like how Rivers Untd walked on your backs? Just chill and wait my gee.