vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
City anaweza fungwa nje ndani kama ataendelea kuchezea mpira badala ya kucheza mpira.Man city Vs R. Madrid
Hapo moto lazima uwake
Natabiri Man city kushinda
CMechi za playoff kupata timu 8 zitakazoungana na top 8
View attachment 3219802
View attachment 3219804
Ni kweli, japo mpira una matokeo ya kustaajabisha sanaReal Madrid kwenye knockout ni habari nyingine katika champions league
Haha.......nakubali MkuuCity anaweza fungwa nje ndani kama ataendelea kuchezea mpira badala ya kucheza mpira.
Safu ya ulinzi ya City ni dhaifu mno kwa sasa kuliko Madrid ambayo imeimarika kiasi nyuma na imara zaidi katikati na mbele kuliko City.
Wakipigwa counter attack wanamkuta Vini au Mbappe wavuni.
Hivyo tunasubiri Kipara kuja na mpangokazi madhubuti ili kuwafulusha miamba hao wa Uefa, vinginevyo atavurugwa hadi kipara kitoke damu.
MhaaaaaMan city Vs R. Madrid
Hapo moto lazima uwake
Natabiri Man city kushinda
Akina arsenal na mwenzake 7 wameshafuzu kwenda 16 bora thus wanawasubiria hawa wa playoff timu8 zifuzu kukutana na Akina arsenal kutengeneza last 16Draw ni kama vile haijakamilika, au watachezesha draw nyingine kwaajili ya hatua ya 16? Maana inaonesha mshindi kati ya Ac Milan vs Feyenoord pia Juventus vs PSV watacheza dhidi ya Arsenal ama Intermilan wakati huo Arsenal na Intermilan hawatocheza mechi yoyote zaidi ya kumsubiri atakayefuzu. Sijaelewa kwakweli
Hilo la Arsenal na timu zingine kufuzu nalifahamu. Hoja yangu ni kwamba kwanini hawakumalizia draw kabisa kujua atakayeshinda dhidi ya Ac Milan vs Feyenoord atakutana na Arsenal au atakayeshinda dhidi ya Juventus vs PSV atakutana na Arsenal.Akina arsenal na mwenzake 7 wameshafuzu kwenda 16 bora thus wanawasubiria hawa wa playoff timu8 zifuzu kukutana na Akina arsenal kutengeneza last 16