Draw ya Knockout Stage Robo Fainali ya CAF Confederation CUP itakuwa kama Ifuatavyo.

Draw ya Knockout Stage Robo Fainali ya CAF Confederation CUP itakuwa kama Ifuatavyo.

Basi itakuwa bonus kwetu kufika nusu.
Shirikisho haiwezi kuwa bonus maana huku Kuna Timu ndogo labda Champions League ndiko kuna Vigogo.

Simba anaweza cheza Fainali kama jatokutana na Berkane,Zamalek hatua ya nusu
 
Shirikisho haiwezi kuwa bonus maana huku Kuna Timu ndogo labda Champions League ndiko kuna Vigogo.

Simba anaweza cheza Fainali kama jatokutana na Berkane,Zamalek hatua ya nusu
Basi wakomae wabebe tu. Wasiwasi ni watu aina ya Malone
 
Al Masry vs Simba
Asec Mimosas vs Usma
Stellenbosch vs Berkane
CS Constatine vs Zamalek
 
Al masry vs Simba
Constantine vs Berkane
Asec vs Zamalek
Stellenbosch vs Usma

Al masry ndio timu pekee inayoweza kutusumbua hatua ya robo fainal. Asec na Stellenbosch mapema tu nusu fainali.

Berkane tumeshawahi kucheza nao na kuwafunga vizuri tu kwa mkapa bao la sakho.

Zamalek pia tumewahi kuwafunga na kuwatoa.

Usma sidhani kama tumewahi kukutana nao ila hawa wakawaida sana ukiwalinganisha na zamalek na berkane.
 
Back
Top Bottom