ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kufika robo ni mafanikio. Huko kwengine sio level yetuTimu kubwa zipo shazyyy
Simba kupita robo fainali inawezekana ila nusu fainali itakua kazi kweli kweli
Hujaeleweka Mzee,akishinda robo anaingia nusu,Sasa hapo nusu asipokutaba na Zamalek na RS Berkane anaingia fainali.Timu kubwa zipo shazyyy
Simba kupita robo fainali inawezekana ila nusu fainali itakua kazi kweli kweli
Simba atafika nusu,Timu gani ya kuzuia hapo wakati zilivyojipanga ndivyo zitacheza hatua ya mtoano.Kufika robo ni mafanikio. Huko kwengine sio level yetu
Basi itakuwa bonus kwetu kufika nusu.Simba atafika nusu,Timu gani ya kuzuia hapo wakati zilivyojipanga ndivyo zitacheza hatua ya mtoano.
Shirikisho haiwezi kuwa bonus maana huku Kuna Timu ndogo labda Champions League ndiko kuna Vigogo.Basi itakuwa bonus kwetu kufika nusu.
Basi wakomae wabebe tu. Wasiwasi ni watu aina ya MaloneShirikisho haiwezi kuwa bonus maana huku Kuna Timu ndogo labda Champions League ndiko kuna Vigogo.
Simba anaweza cheza Fainali kama jatokutana na Berkane,Zamalek hatua ya nusu
Atakutana na mmojawapo nusu fainali mkuu.Hujaeleweka Mzee,akishinda robo anaingia nusu,Sasa hapo nusu asipokutaba na Zamalek na RS Berkane anaingia fainali.
Hata hivyo Timu kubwa kwenye ranking ni Simba na Zamalek tuu
View: https://www.instagram.com/p/DFCaEzXIdw7/?igsh=MW53bTR3b2YwcnlybQ==
Huwa hakuna haja ya kubashiri draw1.Simba SC vs StellenBosch
2.RSB Berkane vs Asec
3.USM Alger vs Al Masr
4.Zamalek vs CS Constantine.
Wee utopolo kwani Zamalek na Berkane ndo niniShirikisho haiwezi kuwa bonus maana huku Kuna Timu ndogo labda Champions League ndiko kuna Vigogo.
Simba anaweza cheza Fainali kama jatokutana na Berkane,Zamalek hatua ya nusu