Draw ya kombe la shirikisho Africa kuchezwa leo.

Tanzania tunatimu ngapi hapo ndugu zangu?
Moja tu, kuna group Al Ahly amekutana na Mamelodi halafu wengine wawili wametoka Sudan na ni derby , Kocha wa Al Ahly kasema nafurahi wale ni local derby watatoana wenyewe na sisi tutafanikiwa
 
Mbona kuna mtu kaishaleta uzi humu kuwa Simba tayari imeshatinga robo fainali.
Mkuu kwenye historia ya mpira Africa Berkane na Mimosas ni timu zenye uzoefu mkubwa hawastahili kubezwa ,labda hiyo timu ya Nigeria na huwezi jua wanaweza kuja na suprise
 
Mkuu kwenye historia ya mpira Africa Berkane na Mimosas ni timu zenye uzoefu mkubwa hawastahili kubezwa ,labda hiyo timu ya Nigeria na huwezi jua wanaweza kuja na suprise

Gendamerie inatokea Níger sio Nigeria

Nigeria walikuwa wawakilishwe na Enyimba lakn kwenye hatua ya mtoano walikutana na Al Ittihad ya Libya,,, ila kilichowaondoa Enyimba ni case ile ile ifananayo na Biashara Utd

Hvyo kwasasa Nigeria hana timu yoyote si champions lg wala confederation group stage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…