mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Takwimu iliyotolewa na jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ya mwaka 2024 ikiwa ni zaidi ya vifo 450. asilimia 75% ya walioathirika zaidi na ugonjwa huo ni watoto chini ya umri miaka 10.
Soma Pia: Kuna mlipuko wa ungonjwa wa Homa ya Nyani (MPox) DRC na inadhaniwa kusambaa nchi nyingine
Soma Pia: Kuna mlipuko wa ungonjwa wa Homa ya Nyani (MPox) DRC na inadhaniwa kusambaa nchi nyingine