DRC: M23 wateka tena Kavumu Airport.

DRC: M23 wateka tena Kavumu Airport.

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
515
Reaction score
520
M23 wachukuwa uwanja wa ndenge wa Kavumu kule Bukavu south kivu.
Soon na mji wa Bukavu utachukuliwa.
Tshisekedi kaenda Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Na wanajeshi wa Burundi wa kamatwa mateka kwa wingi na wengine wakimbia kwa kuokoa Marshall yao.👇
 

Attachments

  • ssstwitter.com_1739534148578.mp4
    1.3 MB
  • ssstwitter.com_1739538138779.mp4
    4.8 MB
  • 20250214_150834.jpg
    20250214_150834.jpg
    145.6 KB · Views: 1
  • 20250214_145124.jpg
    20250214_145124.jpg
    146.2 KB · Views: 1
  • 20250214_144855.jpg
    20250214_144855.jpg
    36.3 KB · Views: 1
  • 20250214_144901.jpg
    20250214_144901.jpg
    34.9 KB · Views: 1
  • 20250214_144611.jpg
    20250214_144611.jpg
    197.5 KB · Views: 1
Kila siku tunawaambia hapa waCongo hawapo Serious na nchi yao, sio sawa wengine kutumia resources zetu kwa watu ambao wenyewe hawako tayari kuifia nchi yao.

Shangwe na starehe zimewapofusha waCongo matokeo yake nchi yao imekuwa shamba, ndio maana mwamba PK ameamua kutanua himaya yake mambo yasiwe mengi,
Naunga mkono mashariki iwe Taifa la watutsi ili walete amani na kuifanya nchi kamili yenye uwezo wa kujilinda na kujitawala na sio kutegemea huruma huruma za watu wengine.
waCongo walioko Kinshasa, Lubumbashi na Kisangani wanaishi kama Taifa lao liko stable na halina shida yeyote, wako busy kuuza madini huku na kule na kuishia kufanya starehe France, Belgium, na kwingineko Ulaya.
 
M23 wachukuwa uwanja wa ndenge wa Kavumu kule Bukavu south kivu.
Soon na mji wa Bukavu utachukuliwa.
Tshisekedi kaenda Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Na wanajeshi wa Burundi wa kamatwa mateka kwa wingi na wengine wakimbia kwa kuokoa Marshall yao.👇
Kama kweli rais kaenda valentine Paris na kilasiku wanamponda Macron huyu sekedi ni chizi aliyevaa suti. Kama ni kweli basi Trump Yuko sahihi mara mia 300
 
Tishekedi aongee na M23 kabla mambo hayajakuwa mabaya.
Hali ilipofikia, hata M23 haina muda huo. Viongozi duniani,japo kama wengi wana masrahi yao,wamemkalia kimya. Rais wa Angola, amesema amemshauri mara kibao, hamsikilizi.
Labda tuone wale makomando wa Tchad wanaokaribia tuone huenda watakuwa na msaada. Japo mpaka wafike huko inakoelekea M23, mi sijui. M23 kwanza inahakikisha inajenga urafiki na raia.

Hapo jana, wezi watatu wameuliwa Goma. Walivamia shilika moja la kutoa misaada, wakaanza kubomoa magari na kutoa nje jenereta la umeme, mlinzi alivyoona hawezi kukabiliana nao, katoka nduki na kuwaita vijana wa M23 waliokuwa dolia. Kila mmoja alilamba shaba zake, wakaendelea na kazi yao,huku maiti zikipigwa baridi mpaka kunakucha.
Sasa, hapo nyuma wazungu wamezoea mali zao zinaibwa na jeshi. Leo hii, jeshi lililopo linawalinda na mali zao. Hao ndo wataomba jeshi la zamani lirudi? Hakuna. Unaambiwa raia wanakesha bila tatizo wanafanya biashara. Hapo nyuma haikuwahi kutokea.

Siasa noma.
 
Back
Top Bottom