Kama kweli rais kaenda valentine Paris na kilasiku wanamponda Macron huyu sekedi ni chizi aliyevaa suti. Kama ni kweli basi Trump Yuko sahihi mara mia 300
Mi naona Bora Tanzania tuwaondoe wanajeshi wetu walinda AMANI huko DRC, badala yake tuimarishe ulinzi kwenye hii mipaka yetu yaani Rwanda na expected annex yake..
Atakae jipendekeza kwetu, Maxi Nzengeli wa Chasambi ( role model) wetu awe Putin kule kwa Zele
(Kiendacho kwa mganga)