BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Watu 6 wameuawa na wengine 15 kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea kwenye baa eneo la Goma katika Mji wa Kivu Kaskazini, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kulingana na vyanzo vya serikali hiyo ilikuwa ni taarifa ya awali.
Waathirika wawili katika tukio hilo maofisa wawili wa juu wa Jeshi la Congo, wanawake watatu na mtoto mmoja.
Source: Africanews
Waathirika wawili katika tukio hilo maofisa wawili wa juu wa Jeshi la Congo, wanawake watatu na mtoto mmoja.
Source: Africanews