DRC yajiandaa kujiunga EAC baada ya rais wake kutembelea Kenya na kuwa na vikao vya faragha

Miaka ya nyuma hawa akina Congo,,Rwanda,,burundi,,uganda,,

kimbilio lao ilikua TZ lkn sahivi Kenya ndo kawa baba yao,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni sana nyangau, wazee wa kupita kwa mtelezo. Lile dude ni complex unless muwe mmetumwa.
 
Typically Kenyans....
Mkenya katika ubora wake....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya nyuma hawa akina Congo,,Rwanda,,burundi,,uganda,,

kimbilio lao ilikua TZ lkn sahivi Kenya ndo kawa baba yao,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijidanganye "BUSHA" Kenya haijawahi na bado siyo kimbilio la taifa lolote. Fuatilia mambo kwa kina, M7 ametamka zaidi ya mara tatu akihitaja Tz kuwa ndiyo second home yake. Kagame (Rw) sasa hivi Tz ndiyo mshirika wake mkuu, Nkurunziza alivyotaka kubeduliwa akiwa Dar Tz ndiyo imemrudisha kiti chake. Alishikwa mkono mpaka ikulu kwake na kurudishiwa nchi yake. Kila mkataba Tz akiugomea jua Brnd na yeye atagoma. Hiko anachokifanya Uhuru kwa Congo alisha jaribu kwenye EAC na CoW yake matokeo yake deal kubwa kuwahi tokea E.A kati nchi na nchi lilimponyoka mdomoni na kuliwa na Magu (EACOP). SGR ya Kenya ilichorwa vizuri itoke Msa ifike mpaka Kigali kupitia Kampala, baadae Kagame alibadili upepo na kurudi Tz na M7 anajiuliza mara mbili. Tz imesha pokea wakimbizi wa nchi zote za E.A na wanajua waki anza kuchinjana kimbilio ni Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dah, mkenya akireason unaweza ukacheka sana, eti Kenya imekuwa kwenye mstari wa Mbele kuhakikisha nchi hiyo inapata utulivu, Ikiwemo kuhudhuria kuapishwa kwa Rais wa Nchi hiyo[emoji2][emoji2][emoji2]

Kweli we jamaa ni Kiazi[emoji2]
 
Rafiki katika hiyo list unayoisema DRC wa kwanza, then Ethiopia and Uganda

Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa unahitaji tafsiri? Kuna taarifa ya UNICEF ya wakimbizi watoto na pia kuna ya wakimbizi 'in overall' na hapo kati ya nchi zilizotajwa kwa kuhifadhi wakimbizi wengi duniani Kenya ni ya tatu. Tz haipo, rudi kwenye comment ya thisdayes kuhusu Tz kuhifadhi wakimbizi wote ukanda huu.
 
Nadhani wewe ndio unahitaji tafsir
Hebu checki hiyo hapo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa kulibomoa taifa fula hivi,kwa makusudi tu,maana tuhuma ulizotoa ni kama zilizowahi kutolewa
 
Dah, mkenya akireason unaweza ukacheka sana, eti Kenya imekuwa kwene mstari wa Mbele kuhakikisha nchi hiyo inapata utulivu, Ikiwemo kuhushuria kuapishwa kwa Rais wa Nchi hiyo[emoji2][emoji2][emoji2]

Kweli we jamaa ni Kiazi[emoji2]

Ndio maana nilisema inahitaji ubongo wenye chaji kuelewa ninachozungumza kuhusu, hao DRC mumewazungusha zungusha hadi uhusika wa Kenya ndio wamepata afueni.
Tafuta mtu akusaidie kutafsiri taarifaf kwenye hii link Uhuru-Raila hand in Congo presidential poll revealed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…