DRC yazionya timu zinazovaa Jezi za "VISIT RWANDA"

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Screenshot_2025-02-02-17-15-42-1.png

Hii ndio kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi hiyo

Amesema kuendelea kufanya hivyo ni sawa na kuunga mkono kikundi cha M23 kinachofadhiliwa na Kagame

Screenshot_2025-02-01-10-40-42-1.png
 
Huyu mwamba namkubali sana.Tukifanya exchange kati huyu na mother itakuwa poa sana ili aje kunyoosha Tanganyika yetu
Alidai angekuwa na bandari kama Dar nchi ingekuwa tajiri na isingehitaji misaada wala mikopo.
 
View attachment 3222484

Hii ndio kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi hiyo

Amesema kuendelea kufanya hivyo ni sawa na kuunga mkono kikundi cha M23 kinachofadhiliwa na Kagame

View attachment 3222485
kosa kubwa wacongo wanashindwa, ni kuongea tu kiongozi wao kuhusu visit rwanda. wanachotakiwa, ambacho hata bongo tunatakiwa kufanya, ni kuajiri ma IT wa kutosha, washinde mitandaoni humo, na wawe wenye akili, wasikurupuke, wawe wale wanaoongea hoja tupu ila zenye damage kwa adui. ndivyo Israel alivyofaulu sana kwenye vita vya mtandaoni hadi adui hakai kwa amani na wengi wanashindwa kusapoti adui yao kwasababu wakijaribu tu wanashambuliwa mtandaoni. kwani kuajiri IT hata 200 au 500 ukawalipa pesa wakusaidie kazi, kunagarimu shilingi ngapi? mnaiba pesa ngapi huko maofisini ambazo zingesaidia mambo yenu kwenda vizuri kwa vita vya mtandaoni? nakuhakikishia, wangekuwa na IT mafia wengi, hata hao wanaofanya biashara na rwanda wangesitisha mikataba, wazungu wapo sensitive sana na uvunjaji wa haki za binadamu.
 
Hoja
 
Back
Top Bottom