Dream League Soccer Special Thread

Fene Mr Kiande huko uliipo usijisahau Master nakuja na ujio ambao hauachi mtu salama.
 
Unafikisha Gems 345 kuna sehemu ya scout ipo unaweza mpata hata mbappe au haland fili
Gems situmii kusajilia baadae utazikumbuka ukiwa na full squad katika kuMaximize players , upatikanaji wa Gems ni ngumu ni vizuri kutumia coins katika kusajili Gems ukazihifadhi.
 
Gems situmii kusajilia baadae utazikumbuka ukiwa na full squad katika kuMaximize players , upatikanaji wa Gems ni ngumu ni vizuri kutumia coins katika kusajili Gems ukazihifadhi.
Anataka maendeleo ya chap
 
Nimecheza zile mods walizohack za offline miaka 2018/2019 ni moto ...ina radha yake

Kuna mshkaji wangu Humwambii kitu kuhusu fifa nimejaribu kumleta dream league hataki
Mimi pia nimejaribu DLS naona halina radha ukilinganisha na FiFa,, inshort DLS limekosa realism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…