Dream League Soccer Special Thread

Mwanangu we uwezi kunifunga nimepitia post zenu na uhakika Humu sijaona wa kunifunga
We boya Una mbwembwe Ila kucheza huwezi njo uchezee kanzu na Tobo za kutosha unaweza usiguse Mpira kabisa ukicheza na cc wataalamu
 
Haya Bhn nimekaa saa 1 na Nusu Jamaa ajatokea Lkn nipende kutoa taarifa awe Makini kucheza na Timu Kubwa kwny Upande wa DLS sio Jambo Dg zingatia Slogan HOME OF ATTRACTIVE FOOTBALL
 
Wakipekee DR SANTOS Fene MrJobless muda wenu wa kutambua umefika mwisho baada ya kipindi kirefu Master nimerudi rasmi kwenye gemu.

Sasa natangaza rasmi msimu wa kutoa vipondo umerudi kwa yeyote atakayejitokeza , nasemaje ukimuona mtu yeyote anadai yeye anajua DLS basi hajakutana na mimi Master .
 
Au sio bhs nipe time yako ambayo upo available nianze na wewe ili Wakipekee apate pic halis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…