Bhn huyo nilishagunga LLLLL zipo upande wake wkt kwng WWWWW hiyo ndy H2HMnaandikia mate?
Master unatembeza kipigoadriz matokeo haya ya kikatili umeyataka mwenyewe na lidomodomo lako hilo, wape tahadhari na wenzakoView attachment 2719483
Hiyo kawaida mimi nimekutembezea sana maana ukitoa 2 wewe una faida ya goli 4 kitu ambacho nimefanya sana.adriz matokeo haya ya kikatili umeyataka mwenyewe na lidomodomo lako hilo, wape tahadhari na wenzakoView attachment 2719483
Yeah for sure Mr Innovator97 you're true legend of this thread and u know who's truly master[emoji1548][emoji1548]Master unatembeza kipigo
Ndo nini unachokiongea hiki?!Hiyo kawaida mimi nimekutembezea sana maana ukitoa 2 wewe una faida ya goli 4 kitu ambacho nimefanya sana.
Jana ulikuwa bora kidogo ukashinda kwa ushindi mwembamba wa kushinda mechi 3 na mimi 2 Kati ya mechi 5 wakati mimi nilikuwa Kipigo cha mechi 4 Kati ya 5 na ilikuwa siku mbili mfulilizo bingwa nilikuwa mimi.Sasa na wewe jivagae uje tena uone kama umebahatisha.
Nadhani wasingeweka mwaka kabisa isomeke dream league special thread tu coz miaka daily inachangeMod kama mtaweza heading hapo wekeni 2023 badala ya 2020 i.e DLS 2023
Nadhani wasingeweka mwaka kabisa isomeke dream league special thread tu coz miaka daily inachange
Moderator
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mkikutana Vibonde matokeo yenu yanafurahishaadriz matokeo haya ya kikatili umeyataka mwenyewe na lidomodomo lako hilo, wape tahadhari na wenzakoView attachment 2719483
Naona bado mnashindana nan Yupo vzr zaid ya mwenzakeHiyo kawaida mimi nimekutembezea sana maana ukitoa 2 wewe una faida ya goli 4 kitu ambacho nimefanya sana.
Jana ulikuwa bora kidogo ukashinda kwa ushindi mwembamba wa kushinda mechi 3 na mimi 2 Kati ya mechi 5 wakati mimi nilikuwa Kipigo cha mechi 4 Kati ya 5 na ilikuwa siku mbili mfulilizo bingwa nilikuwa mimi.Sasa na wewe jivagae uje tena uone kama umebahatisha.
Mbn km unawatafutia Lawama Vijana wa humu Weng wao Uwezo wa mdg mdgNawaza namna ya kuanzisha mashindano kwa dream league ikiwa mameneja(wachezaji) watakuwa tayari.
Hakuna asiyejua humu kuwa Innovator ni moja Kati ya viande wa chini kuwahi kutojea katika jukwaa hili ,sio ajabu kiande kumsifu kiande mwenzake maana ndege wanaofanana huruka pamoja .Ingekuwa singasinga ,eng na wengine walio katika peak umewafunga na wameAcknowledge uwezo wako hapo sawa.Yeah for sure Mr Innovator97 you're true legend of this thread and u know who's truly master[emoji1548][emoji1548]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Yani nyi viande kwa kupeana moyoUtafika Mbali [emoji120][emoji120] Kwa kuwa Mkweli Huyo Fene nimecheza nae mara 2 Siku ya Kwanza Game 4 na zote nilimfunga na Siku ya 2 Game 2 na zote nikamfunga ss sijui ana umaster gan
Da tangu huu mwaka uanze hakuna siku nimecheka Ka Leo [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna asiyejua humu kuwa Innovator ni moja Kati ya viande wa chini kuwahi kutojea katika jukwaa hili ,sio ajabu kiande kumsifu kiande mwenzake maana ndege wanaofanana huruka pamoja .Ingekuwa singasinga ,eng na wengine walio katika peak umewafunga na wameAcknowledge uwezo wako hapo sawa.
Kwa kuhitimisha wewe ni Master wa viande fungal mabingwa ndio ujiite Master.